mkomb
Member
- Aug 31, 2023
- 36
- 51
Pole na majukumu natumai wote ni wazima wa afya na akili pia Kuna rafiki yangu ana mke wake ana siku nyingi hajawanae karibu alikuwa nje kikazi amerudi mwezi wa nane tareh 20 akakutana na mwenza wake kimwili pasipo kinga.
Hofu aliyo kuwa nayo sasa nikuambukizwa HIV kwasababu amesikia habari mbaya kuhusu mkewe kwamba alikuwa akichepuka, ameniuliza "Je ni muda gani mtu anatakiwa kusubiri kabla ya kwenda kufanya vipimo Ili vipimo visome majibu sahihi" (window period).
Me binafsi nimeshindwa kujibu nikaamua nishee na nduguzangu wa karibu.
Naomba kuwasilisha 🙏🏿
Pia soma:Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa