Baad ya ngono isiyo salama, ni muda gani mtu asubiri kisha akapime VVU ili kupata majibu sahihi?

mkomb

Member
Joined
Aug 31, 2023
Posts
36
Reaction score
51
Pole na majukumu natumai wote ni wazima wa afya na akili pia Kuna rafiki yangu ana mke wake ana siku nyingi hajawanae karibu alikuwa nje kikazi amerudi mwezi wa nane tareh 20 akakutana na mwenza wake kimwili pasipo kinga.

Hofu aliyo kuwa nayo sasa nikuambukizwa HIV kwasababu amesikia habari mbaya kuhusu mkewe kwamba alikuwa akichepuka, ameniuliza "Je ni muda gani mtu anatakiwa kusubiri kabla ya kwenda kufanya vipimo Ili vipimo visome majibu sahihi" (window period).

Me binafsi nimeshindwa kujibu nikaamua nishee na nduguzangu wa karibu.

Naomba kuwasilisha 🙏🏿

Pia soma:Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa
 
Sasa mke akae mbali miezi kibao utegemee asiliwe? Acheni kutembelea "RIM".
 
unachokihofia hakipo....ukimwi upo tangu dunia inaumbwa ila HIV ndo hajawahi kuwa na mahusiano ya kuambukiza ukimwi cc Deception
 
Si wapimane kujua kama mtu kaathirika ya nini kujitisha
 
Siku 14 ila inategemea pia group lako la damu. Wengine hata siku 90 ndiyo kipimo kinasoma kama umepata maambukizi.
 
Pole na majukumu natumai wote ni wazima wa afya na akili pia Kuna rafiki yangu ana mke wake ana siku nyingi hajawanae karibu alikuwa nje kikazi amerudi mwezi wa nane tareh 20 akakutana na mwenza wake kimwili pasipo kinga.

Hofu aliyo kuwa nayo sasa nikuambukizwa HIV kwasababu amesikia habari mbaya kuhusu mkewe kwamba alikuwa akichepuka, ameniuliza "Je ni muda gani mtu anatakiwa kusubiri kabla ya kwenda kufanya vipimo Ili vipimo visome majibu sahihi" (window period).

Me binafsi nimeshindwa kujibu nikaamua nishee na nduguzangu wa karibu.

Naomba kuwasilisha 🙏🏿

Pia soma:Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa
Siku 90 Kwa uwakika zaidi
 
Back
Top Bottom