Baada Jokate kuingia rasmi UVCCM , Brand ya KIDOTI yaanza kupuuzwa

Baada Jokate kuingia rasmi UVCCM , Brand ya KIDOTI yaanza kupuuzwa

halafu huyu kidoti nilijuaga ni mjingamjinga. nimemsikia jana, anajieleza vizuri sana.
 
.hizo taarifa umezipata wapi.?weka source ya huo utafiti mkuu..
Hata wewe ukijisumbua kidogo tu utajua , kwa mfano , ukitaka kujua kama biashara ya bia imedorora unadhani utahitaji source gani zaidi ya utafiti wa macho yako tu ?
 
Siku zote tumefundishwa kuambatana na upande utendao haki , ukipuuza umekwisha !

Taarifa nilizozipata ni kwamba Kitendo cha Jokate kujiingiza kwenye siasa za ccm , chama ambacho kinachukiwa na vijana wengi sana wa Tanzania , bidhaa zake zimeanza kudoda .

Ikumbukwe kwamba dada huyu hujishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo biashara ya rasta , mtindo unapendwa zaidi na wasichana wa kisasa .

Nikajiuliza huyu dada ni kitu gani kimemfanya aharibu Brand yake haraka hivi kwa kujiegemeza kwenye chama kisichotakiwa , amerogwa na nani ?

Majuto ni mjukuu .
Alafu mkiitwa wachumia tumbo mnaanza kulalamika
 
Wateja wake wakubwa hao wasichana hiv ni wapenzi sana wa masuala ya siasa???
 
Tusaidinieni na CV ya huyu dada maana nasikia tu amesoma amesoma,ana Phd au?
 
Pale magambani ajue atalala na kila kigogo.....hiyo ndio pekee itamsaidia kupata vyeo.

So jokate jiandae, nilizopenyezewa ni kwamba anaelekea dodoma muda huu na jibaba moja la lumumba wanaenda kwenye muungano.
Ha ha haaaahaa wako njiani na libaba la Lumumba wanaenda kwenye muungano.
 
Kina wolper waendelee kukinukisha chama k
 
Wale waliozunguka kampeni ya mama mkanye imekuaje hajakidhi viwango hata mmoja au ndio k ya wolper imeleta changamoto ya harufu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom