Hata wewe ukijisumbua kidogo tu utajua , kwa mfano , ukitaka kujua kama biashara ya bia imedorora unadhani utahitaji source gani zaidi ya utafiti wa macho yako tu ?.hizo taarifa umezipata wapi.?weka source ya huo utafiti mkuu..
Alafu mkiitwa wachumia tumbo mnaanza kulalamikaSiku zote tumefundishwa kuambatana na upande utendao haki , ukipuuza umekwisha !
Taarifa nilizozipata ni kwamba Kitendo cha Jokate kujiingiza kwenye siasa za ccm , chama ambacho kinachukiwa na vijana wengi sana wa Tanzania , bidhaa zake zimeanza kudoda .
Ikumbukwe kwamba dada huyu hujishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo biashara ya rasta , mtindo unapendwa zaidi na wasichana wa kisasa .
Nikajiuliza huyu dada ni kitu gani kimemfanya aharibu Brand yake haraka hivi kwa kujiegemeza kwenye chama kisichotakiwa , amerogwa na nani ?
Majuto ni mjukuu .
Wateja wake wakubwa hao wasichana hiv ni wapenzi sana wa masuala ya siasa???Siku zote tumefundishwa kuambatana na upande utendao haki , ukipuuza umekwisha !
Taarifa nilizozipata ni kwamba Kitendo cha Jokate kujiingiza kwenye siasa za ccm , chama ambacho kinachukiwa na vijana wengi sana wa Tanzania , bidhaa zake zimeanza kudoda .
Ikumbukwe kwamba dada huyu hujishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo biashara ya rasta , mtindo unapendwa zaidi na wasichana wa kisasa .
Nikajiuliza huyu dada ni kitu gani kimemfanya aharibu Brand yake haraka hivi kwa kujiegemeza kwenye chama kisichotakiwa , amerogwa na nani ?
Majuto ni mjukuu .
Zinaitwa tarifa rasimi unataka zipatikane lumumba.hizo taarifa umezipata wapi.?weka source ya huo utafiti mkuu..
Ha ha haaaahaa wako njiani na libaba la Lumumba wanaenda kwenye muungano.Pale magambani ajue atalala na kila kigogo.....hiyo ndio pekee itamsaidia kupata vyeo.
So jokate jiandae, nilizopenyezewa ni kwamba anaelekea dodoma muda huu na jibaba moja la lumumba wanaenda kwenye muungano.
wa kikeeeWivu wa nini sasa ?
Umewahi kufanya biashara yoyote , hata ya kuuza mapera au mahindi ya kuchemsha ?Alafu mkiitwa wachumia tumbo mnaanza kulalamika
Ya juisi flani inaitwa kijotikidoti ndio brand ya nini
Haya mambo mkuu si ya kitoto , kwa chuki walizonazo wananchi na hasa vijana kwa ccm , huyo kiba naye yuko matatani .mwache Kiba amtoboe spika kwa raha zake.