Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #41
Hivi umewahi kumsikia Lusinde akiongea , au Marehemu Tambalizeni ? CCM wako hivyo .halafu huyu kidoti nilijuaga ni mjingamjinga. nimemsikia jana, anajieleza vizuri sana.
Ubaya wa CCM as compared to uzuri wa nani? NGO ya Nothern Tanzania?? Imarisheni vyama vingine vivutie watz.. kusema CCM ni mbaya bila ya kuwa na chama kingine kizuri haitaisaidia Tanzania.. futeni ukanda, fanyeni uchaguzi wa mwenyekiti mpya, imarisheni matawi Tz yote hadi vijijini nk.. Kuzaliwa hadi kufa mnahuburi CCM mbaya wakati hakuna alternative haisaidii.Kuharibu brand ni sekunde tu , hivi nani hajui ubaya wa ccm nchi hii ? Sasa unapoamua kujiambatanisha nayo unategemea nini ?
Jokate huyu huyu aliyefanya sex remix na Diamond na Ally Kiba na Hashimu Thabiti ndio hajatumika? Pole yako.Ma bavicha wanawaonea wivu wenzao wa uvccm kuchukua kifaa ambacho hakijatumika sana kulinganisha na kile walicho kuchukua wao juzi ambacho kilikuwa kimeshatupwa!
Siku zote tumefundishwa kuambatana na upande utendao haki , ukipuuza umekwisha !
Taarifa nilizozipata ni kwamba Kitendo cha Jokate kujiingiza kwenye siasa za ccm , chama ambacho kinachukiwa na vijana wengi sana wa Tanzania , bidhaa zake zimeanza kudoda .
Ikumbukwe kwamba dada huyu hujishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo biashara ya rasta , mtindo unapendwa zaidi na wasichana wa kisasa .
Nikajiuliza huyu dada ni kitu gani kimemfanya aharibu Brand yake haraka hivi kwa kujiegemeza kwenye chama kisichotakiwa , amerogwa na nani ?
Majuto ni mjukuu .

hakika wanaenda kwenye "muungano".Pale magambani ajue atalala na kila kigogo.....hiyo ndio pekee itamsaidia kupata vyeo.
So jokate jiandae, nilizopenyezewa ni kwamba anaelekea dodoma muda huu na jibaba moja la lumumba wanaenda kwenye muungano.
Kalipewa viti maalum pamoja na magonjwa juu......hakika wanaenda kwenye "muungano".
baada ya mda mrefu kujipambanua kama kademu ka wasanii, sasa kanaenda kuwa kademu ka wanasiasa wa chama tawala.
wale wazee watapokezana haka kademu kama mpira.siku kakija kushtuka,itakuwa tayari ishakula kwake.
hivi kale kademu kalikuwa kanaitwa Juliana shonza kako wapi siku hizi?.
Duh!!!.basi sawa mkuu.Kalipewa viti maalum pamoja na magonjwa juu......
Umeandika vizuri sana , lakini umesahau kwamba ukweli haufichiki .Biashara huwa hazihusiani na Chama, biashara ni kitu kinachojitegemea ingawa hiyi Brand ya Kidoti imejengwa na mtu mwenye mapenzi na Chama Cha Mapinduzi.
Sisi sote huwa tuna Dini zetu, makabila yetu na sehemu tulizotoka ni watu wachache sana waliofilisika kisiasa wanaweza kuwa na mawazo kama hayo ya kwako. Chama kipo kinaitikadi zake na yeye Kidoti karidhikanazo ndo maana anakitumikia.
Tusipende kuwagawa watu kwa udhaifu wa Kidini, kikabila na Kikanda dhambi hiyo itatutafuna sana na amani itakosekani tuache mtindo huo!
.bas km ni kwa kujisumbua kidogo tu..haiwezekan ww kuja na general conclusion ya namna hyo..nadhan km unge narrow hzo results could make sense..Hata wewe ukijisumbua kidogo tu utajua , kwa mfano , ukitaka kujua kama biashara ya bia imedorora unadhani utahitaji source gani zaidi ya utafiti wa macho yako tu ?
.nadhan hujaelewa hoja yangu..ukielewa njoo tena..Zinaitwa tarifa rasimi unataka zipatikane lumumba
Siku zote tumefundishwa kuambatana na upande utendao haki , ukipuuza umekwisha !
Taarifa nilizozipata ni kwamba Kitendo cha Jokate kujiingiza kwenye siasa za ccm , chama ambacho kinachukiwa na vijana wengi sana wa Tanzania , bidhaa zake zimeanza kudoda .
Ikumbukwe kwamba dada huyu hujishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo biashara ya rasta , mtindo unapendwa zaidi na wasichana wa kisasa .
Nikajiuliza huyu dada ni kitu gani kimemfanya aharibu Brand yake haraka hivi kwa kujiegemeza kwenye chama kisichotakiwa , amerogwa na nani ?
Majuto ni mjukuu .
Kwi! Kwi! Kwi!Umerogwa wewe!! Na wivu unakusumbua hata pesa za kununua bidhaa za Jokate huna!!