Baada ya 2025 kama siyo Rais basi Kiongozi Rasmi wa Upinzani

Baada ya 2025 kama siyo Rais basi Kiongozi Rasmi wa Upinzani

Soma hii aya yako vizuri

Point yako imeijenga kwa dhana kwamba ni lazima mbowe awepo either ikulu au bungeni haujasema nini hasa faida za kiongozi atakaeshika nafasi ya pili katika kura za uraisi kuwepo uko bungeni bila kujali atakua mbowe au mwingine yoyote
Apo unajiongeza mwenyewe tu mwana,sio kila kitu unafuniwe.
 
I dont think so. Lisu mwenyewe hukiri role model wake na aliyemshawishi kuingia katika siasa ni Mbowe
Kuwa role model haimfanyi kuwa na ushawishi kumshinda Lissu ukitaka kuutambua ushawishi wa Lissu rudi kipindi bunge ana lihenyesha wakati wa jakaya na wakati wa Magufuli, tazama namna Magufuli alivyo kuwa ana deal naye kinaga ubaga .

Nakuhakikishia ni Lissu pekee hapa nchini kwa wanasiasa anaye weza kuutikisa utawala kwa namna mbalimbali.
 
haya
 
Kutokana na upepo wa kisiasa unvyovuma ni wazi kwamba unampendelea sana Freeman Aikaeli Mbowe. Na kumuweka katika nafasi ya wanasiasa wachache nchini wenye nguvu na ushawishi na hivyo si ajabu kusikia 2025 amechaguliwa na watanzania kuwa raisi wao.

Hivyo basi ninafikiri ipo haja katika mchakato wa mabadiliko ya katiba(KATIBA MPYA) kuwe na kipengele cha official opposion leader ambaye atakuwa ni mgombea aliyeshika nafasi ya pili katika kura za uraisi.

Hii itampa uhakika wa kuwepo bungeni na kuongoza kambi ya upinzani iwapo atashindwa na mgombea wa CCM katika kura za uraisi.

Katiba ya sasa inalazimisha kiongozi wa upinzani bungeni awe ni mbunge wa kuchaguliwa. Hivyo ukigombea uraisi na ukashindwa hata kwa kura moja basi imekula kwako.

Ndio maana kuna kauli kwamba Dk Slaa alikuwa mgumu sana kuacha ubunge na kugombea uraisi 2010 mpaka alihakikishiwa maslahi yake na CHADEMA.
Tutamchagua awe rais wa mioyo yetu na Si mkuu wa nchi
 
Ndani ya Serikali 3,

Mbowe anaqualify kuwa kiongozi au Waziri mkuu wa Tanganyika.

Nafasi ya Urais Ina wenyewe. Bt yote ni Kwa maslah ya nchi.

Ameeen
Serikali 3 ? Nchi mpya ipi hiyo? Dola ya Tanzania ilishaundwa na Mwalimu Nyerere na Mzee Karume mwaka 1964. Tujadili uchumi, maendeleo ya kijamii, teknolojia nk. #Kujaribu kuvunja Muungano ni uhaini. Ondoeni hilo wazi. 🙏🙏🙏
 
Kwanini yeye kila wakati ebu fikilieni kupata nguvu mpya uenda ikaleta chachu ya mabadiliko Tz inahitajia Kiongozi mwenye kuthubutu kufanya Mambo ili Taifa lisonge mbele kiuchumi na kidemokrasia pia. Upo na uhakika gani wapinzani wenu wapo na agenda gani nyuma ya pazia kwa kutimiza takwa la katiba(Mikutano ya kisiasi iendelee). Mbowe ameonesha ukakamavu mkubwa katika siasa za nchi hii anapaswa kuheshimika wakati huo Mh Raisi Dk S S HASSAN anazidi kujijengea heshima na uaminifu kwa watz je? chama chake CCM kimeishiwa mipango na pumzi katika dirisha la 2025 la hasha. Siasa mipango zaidi ya majukwaa.
 
Serikali 3 ? Nchi mpya ipi hiyo? Dola ya Tanzania ilishaundwa na Mwalimu Nyerere na Mzee Karume mwaka 1964. Tujadili uchumi, maendeleo ya kijamii, teknolojia nk. #Kujaribu kuvunja Muungano ni uhaini. Ondoeni hilo wazi. 🙏🙏🙏
Kujadili Katiba Si Uhaini.
 
Kujadili Katiba Si Uhaini.
Sahihi kabisa. Nimesema dola ya Tanzania haitaundwa upya! Kwani ilishaundwa mwaka 1964. Tujadili namna ya kufanya siasa za kistaarabu, umoja wetu wa kitaifa, amani, upendo, haki na wajibu wa raia, uchumi, jamii kuheshimu mamlaka ya nchi nk. 🙏🙏🙏
 
Wananchi wametajwa ktk Katiba ndo waamuzi wa mwisho.

Wakiamua kufanya mabadiliko, waheshimiwe.🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom