Baada ya ACP Kingai kuonja joto la kutoa ushahidi, tutegemee nini toka kwa ushahidi wa IGP Sirro?

Baada ya ACP Kingai kuonja joto la kutoa ushahidi, tutegemee nini toka kwa ushahidi wa IGP Sirro?

Sirro kuanzia olevel hadi advance alikuwa anawaburuza watu kile ni kichwa hatari angeamua kuingia kwenye siasa angekua mtu mkubwa sana
Kwa yale anayoyafanya unaona anatumia kichwa chake sawa sawa ?
 
Hiyo siku itakuwa poa sana, mtu anaependa kukoroma kwa sababu ya kulindwa na mamlaka/madaraka aliyonayo akiwa nje ya hapo ni mdogo kam piriton.
Exactly, such a man can not think because he has no reason to think as he will use his power to solve problems and not reason
 
Kwenye haki Mungu yupo katikati ya victims so watesi wajipange sana maana watalia na kusaga meno
 
Mara nyingi sirro huwa anategemea nguvu ya konyagi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sirro kuanzia olevel hadi advance alikuwa anawaburuza watu kile ni kichwa hatari angeamua kuingia kwenye siasa angekua mtu mkubwa sana

Siasa gani inayohitaji 'kichwa' kuwa mtu mkubwa?

Tunajua sifa za kujiunga na jeshi la polisi, na sababu za wengi kuingia huko…. hakuna mtu 'anayewaburuza' darasani akakimbilia jeshini.
 
Kusoma na ku apply ulicho kisoma in real life, ni vitu viwil tofauti...

that's why if u tell someone tht Jamaa ana Phd, Ni kazi kukuamini.
 
Back
Top Bottom