Baada ya ACP Kingai kuonja joto la kutoa ushahidi, tutegemee nini toka kwa ushahidi wa IGP Sirro?

Kuna uwezekano kwa 99% Sirro asitokee mahakamani, ili kukwepa kuaibika.
Kwa jinsi mwenzake alivyopelekeshwa jana, Sirro huenda akaachia Samadi mbichi pale mahakamani.
Kama atatokea avae pampasi mapema kuokaoa muda wa mahakama.
 
Sirro kwa mantiki atakuwa upande wa Mbowe,ataulizwa maswali Kwanza na AK na Kibatala kwa maana ya examination in Chief,akiwageuka hostile.Kama asipo badilika Cross b examination Kama ya akina b Kibatala itabidi afanyiwe na mawakili wa jamuhuri.Je Sirro atabaki upande wa Mbowe na wenzake ama atatoa ushahidi dhidi yao? Tusubiri
 
Sirro huwa namuonea huruma sana huyu afande..jamaa ni intelligent sana,ni kamanda mmoja mpambanaji na mwenye bidii sana tangu jeshi la police..but siasa ndio inamyumbisha huyu.
 
Sirro huwa namuonea huruma sana huyu afande..jamaa ni intelligent sana,ni kamanda mmoja mpambanaji na mwenye bidii sana tangu jeshi la police..but siasa ndio inamyumbisha huyu.
Umri umeenda na aache kuambatana na siasa ili kuwafurahisha mabosi wake.Atarudi Pida kulima "maharagwe"!😝😝😝😝😝
 
Sirro huwa namuonea huruma sana huyu afande..jamaa ni intelligent sana,ni kamanda mmoja mpambanaji na mwenye bidii sana tangu jeshi la police..but siasa ndio inamyumbisha huyu.
Unamaanisha nini unaposema tangu jeshi la polisi??
 
aisee hata kama nalipwa siwezi kufedheheshwa kiasi kile....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…