Baada ya ACP Kingai kuonja joto la kutoa ushahidi, tutegemee nini toka kwa ushahidi wa IGP Sirro?

Sirro ni kukaza mzuri sana
 
Kuna uwezekano kwa 99% Sirro asitokee mahakamani, ili kukwepa kuaibika.
Kwa jinsi mwenzake alivyopelekeshwa jana, Sirro huenda akaachia Samadi mbichi pale mahakamani.
And for sure hatakuja
 
Kuna watu wengi wameingia jeshini ni vipanga darasani na matokeo yao yalikuwa mazuri wengine ni hob
Siasa gani inayohitaji 'kichwa' kuwa mtu mkubwa?

Tunajua sifa za kujiunga na jeshi la polisi, na sababu za wengi kuingia huko…. hakuna mtu 'anayewaburuza' darasani akakimbilia jeshini.
 
Kingai bado hajamalizana na wakina Kibatala, ikumbukwe ile ya jana ni kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi
 
Sirro anahold phd ya sheria udsm
Tangu lini mkuu?Unamaana anaitwa Dr.Sirro ,acha utani
Sirro kuanzia olevel hadi advance alikuwa anawaburuza watu kile ni kichwa hatari angeamua kuingia kwenye siasa angekua mtu mkubwa sana
Weeeeeee!Humjui hata kidogo amesoma na Baba yangu mdogo Kilaza tu !Degree zenyewe amesoma akiwa kazini.Tangu lini PT watanzania wakawa na akili darasani,Tena enzi zao walikuwa wanachukua waliofeli tu.
 
GPO yenyewe hawakuielewa sasa sijui wanapitia mafunzo yann jamani

usiku wajana watakua wamekesha wanafanyia kazi kufeli kwa ubunifu wao mfu wa kesi

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wengi wameingia jeshini ni vipanga darasani na matokeo yao yalikuwa mazuri wengine ni hob
Siyo Jeshi la polisi!!!Lakini pia siyo Jeshi la enzi hizo.Kwa sababu ya ukosefu wa ajira ni kweli Kwa Sasa kuna Polisi wasomi wazuri.Lakini za kina IGP Polisi waliingia wakiwa vihiyo.Hata huyo unaye mtetea aliingia akiwa na kidato cha sita Wala hakuwa na degree
 
Sirro kuanzia olevel hadi advance alikuwa anawaburuza watu kile ni kichwa hatari angeamua kuingia kwenye siasa angekua mtu mkubwa sana
Acha story zako angekuwa kichwa asingekuwa police.
Kumbuka zamani shida ya ajira haikuwepo
 
Hangaya Angepiga chini hii kesi itamuhaibisha Sana maana huwezi panga uongo
 
Mliopo mahakamani muwe mnaturushia kidogo kidogo maendeleo ya kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…