CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Huwezi kuwa CCM kama una akili timamu, sifa kubwa ya kuwa mwanaccm ni kujitoa ufahamuHuwezi kuwa CHADEMA bila kujua matusi. Usipojua matusi ukiwa CDM utatukanwa weee mpk ujue
Huwezi kuwa CCM kama una akili timamu, sifa kubwa ya kuwa mwanaccm ni kujitoa ufahamuHuwezi kuwa CHADEMA bila kujua matusi. Usipojua matusi ukiwa CDM utatukanwa weee mpk ujue
Yawezekana kuna fedha chafu kutoka kwa akina Robert Amsterdam zilikuwa zinapangwa kupitishwa.Kutoa ushirikiano kwa serekali kuhusu uhalifu hiyo ni sahihi, je hiyo namba imefanya uhalifu gani hadi serekali iwaagize Airtel waifungie?
Hakuna kitu kigumu kama kulazimisha kuongoza watu waliokuchoka. Ni sawa na mwanamke aliyezeeka lakini anajipodoa na kuvaa nguo fupi ili aendelee kupendwa na wanaume. Matokeo yake akikataliwa anaanza kuwafanyia figisu wasichana wadogo wanaokubalika. Ccm wakubali tu hiki si kizazi chao.
Pesa chafu zinatangazwa hadharani?Yawezekana kuna fedha chafu kutoka kwa akina Robert Amsterdam zilikuwa zinapangwa kupitishwa.
This is real. Hawa mbwa wanaweza wakatumika kukuangamiza kama walivyotumika kumuumiza Joel Kabendera aliyekamatwa na serikali ya kikoloni ya CCM baada ya kupewa location alipo na mtanadao wa Airtel.Kwa usalama wako, usitumie mtamdao wa Airtel. Tuwasusie, japo kwa miezi hata 6, tuone kama watajirekebisha. Usikubali kumtumia mtu hela anayekupa line ya Airtel, mwombe akupatie namba ya mtandao tofauti. Na wewe mwenyewe, kama una line nyingine, Airtel iache ipumzike, isije ikakuangamiza.