Baada ya Airtel kuthibitika kutumika kisiasa, wateja tusitumie Airtel Money, ukiweza itupe line au uipumzishe

Yawezekana kuna fedha chafu kutoka kwa akina Robert Amsterdam zilikuwa zinapangwa kupitishwa.
 
This is real. Hawa mbwa wanaweza wakatumika kukuangamiza kama walivyotumika kumuumiza Joel Kabendera aliyekamatwa na serikali ya kikoloni ya CCM baada ya kupewa location alipo na mtanadao wa Airtel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…