Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Tukiwa bado na majonzi ya kuondokewa na wapendwa, ndugu,jamaa na marafiki kwenye ajali mbaya ambayo iliangamiza nguvu kazi kubwa ya taifa.
Huko wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza,sasa hivi kubwa linaloendelea kwa mila na tamaduni za wakara kwa tukio lile ni "Kutakasana " maana yake kuondoa mkosi wa ajali iliyotokea hasa hasa kwa waliofiwa na mke ama mume
Leo asubuhi kwenye taarifa iliyotolewa na BBC swahili radio wananchi baadhi waliofiwawanafanya mila hiyo kwa kasi kuepuka mkosi wa ajali mbaya usitokee tena huko ukara
Jamaa mmoja kafiwa na mke akatafutiwa mwanamke aliyefiwa na mume wakatasana