Baada ya ajali ya MV Nyerere kuua watu wengi, mila ya kutakasana yashika kasi Ukerewe

Baada ya ajali ya MV Nyerere kuua watu wengi, mila ya kutakasana yashika kasi Ukerewe

Ha ha ha! Ni mila ya kishenzi sana!
Kuna nyingine mbaya zaidi ya kubaka kwa kutumia uchawi, inaitwa "lusindiko".
Ukerewe Safi 😀😁😂😅😄😃😃😃😃
 
Mimi ni mtakasaji
Ukienda Ukerewe Panda
20200808_082819.jpg

Nauli Tshs 6000/= Kwenda
Unatakasa Mpaka
 
Hizi mila ni mbaya sana....hata Namibia hizo tabia za kumtakasa mjane au magane zipo sana. Lakini ni mila potofu na upumbavu
 
Tukiwa bado na majonzi ya kuondokewa na wapendwa, ndugu,jamaa na marafiki kwenye ajali mbaya ambayo iliangamiza nguvu kazi kubwa ya taifa.

Huko wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza,sasa hivi kubwa linaloendelea kwa mila na tamaduni za wakara kwa tukio lile ni "Kutakasana " maana yake kuondoa mkosi wa ajali iliyotokea hasa hasa kwa waliofiwa na mke ama mume

Leo asubuhi kwenye taarifa iliyotolewa na BBC swahili radio wananchi baadhi waliofiwawanafanya mila hiyo kwa kasi kuepuka mkosi wa ajali mbaya usitokee tena huko ukara

Jamaa mmoja kafiwa na mke akatafutiwa mwanamke aliyefiwa na mume wakatasana
Wenyewe wanaita kitendo hicho "Okusomboka".
 
Mtakasaji anaitwa - "Omwesya"
Yaani Mtu anayefanya kitu kiwe kipya, au kiwe safi.

Ni mila ya ajabu kabisa na inachangia kueneza UKIMWI!
 
Tukiwa bado na majonzi ya kuondokewa na wapendwa, ndugu,jamaa na marafiki kwenye ajali mbaya ambayo iliangamiza nguvu kazi kubwa ya taifa.

Huko wilayani Ukerewe mkoa wa ...a mume wakatasana
Wanazingatia kanuni za afya au kikavu?
 
Mtakasaji anaitwa - "Omwesya"
Yaani Mtu anayefanya kitu kiwe kipya, au kiwe safi.

Ni mila ya ajabu kabisa na inachangia kueneza UKIMWI!
😂😁😃😄😅😆😃😂😁😀😀😂😂😃😃😄😄
 
Back
Top Bottom