Bongo jau sana utadhani hii changamoto ya ajali mara kwa mara imeanza jana huo mlima umeanza kuwa na ajali za kutisha karibu miaka 25 imepita eti sasa hivi ndio wanaamka badala ya kutanua road wao wanaleta siasa idadi ya magari yameongezeka bara bara ya Tunduma ni kutanua tu hiyo road hakuna kingine..