Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Toka Alikiba arudi kwa mara ya pili kwenye game kumekuwa na kundi kubwa sana la watu wasiomtakia mema katika muziki wake, wamekuwa wakihubiri uzalendo na kusapoti kazi za nyumbani ila ikifika kwa Kiba hali inakuwa tofauti.
Tukirudi mwaka 2014 baada ya kutoa kibao cha Mwana maneno mengi sana yakasemwa kwamba jamaa kachoka na afanye kazi nyingine eti kibao cha mwana ni kibaya sana, Mwana ilifanikiwa kupenya katika kila sikio la mpenda burudani, na hata video ambayo ilipondwa na kila mtu iliweza kutrend nchi kibao duniani na kumletea kiba tuzo lukuki.
Kiba hakuiishia hapo, amekuwa akitoa hits nyingi zikiwemo Aje, Seduce Me na Sasa Mvumo wa radi. Wengi wa wakosoaji wake wamekuwa wakiponda nyimbo zake huku wakirefer nyimbo zake za nyuma, kwamba kila akitoa ngoma mpya basi ile ya zamani automatically inakuwa kali. Hivyo basi hata ukali wa ngoma hii ya sasa utaweza kuonekana pale atakapotoa ngoma nyingin.
AK hajaishia hapo tu, ameza kuwa balozi wa Willaid, amefanikiwa kusainia na label kubwa zaidi duniani yaan Sonny, amekuwa na patnership na Rockstar Africa, kaanzisja label yake "kings music" na kubwa zaidi mwaka huu kaja na kinywaji chake cha Mofaya yeye akiwa mmiliki mweza wa kiwanda hicho.
Kubwa zaidi Kinywaji chake cha Mofaya ni moja ya Wadhamini wa World Cup kwa hapa nyumbani.
Ila ukienda mbele zaidi watu haya yote hawayataki, wanataka kumuona AK akiwa hafanyi lolote na mwisho wa siku waseme hajielewi.
Mimi nionavyo kuna kundi la watu wana ajenda ya kumshusha AK, swali langu ni je watafanikiwa au ndo jamaa atazidi kuchanja mbuga katika mafanikio ya Kimuziki na kiuchumi?