Baada ya Alikiba kuwa mdhamini mkuu wa Kombe la Dunia, Waopambana kumshusha watafanikiwa kweli?!

Baada ya Alikiba kuwa mdhamini mkuu wa Kombe la Dunia, Waopambana kumshusha watafanikiwa kweli?!

kweli mfa maji hutapa tapa...kwahyo kaona Coca Cola sio wadhamini na wanachokifanya bado ni zero..yeye ndo anastahili na ana uwezo huo? Kiba apimwe akili, au muombeeni msamaha kwa Diamond ili diamond aendelee na ugomvi feki unampa mkate kiba hapa mjini
 
Eti mdhamini mkuu wa kombe la dunia.. jata unachoandika hukijui, unajua maana ya mdhamini mkuu?
 
hakuna mtu asiyepingwa na mimi naamini unapokuwa na wakosoaji ni njia bora ya kuzidi kupambana.. ebu nitajie nani mwenye mafanikio asiyekuwa na wakosoaji. Kuanzai Diamond, Jaydee, Kanye west, Lulu, Kanumba (RIP) JPM, JK n.k.

hata wewe hapo kama una mafanikio yoyote yale kuna wengi watakuwa wanakuongea sana pembeni.. mtu pekee asiye na wakosoaji ni maskini wa kipato
 
Official Sponsors and Partners of FIFA World 2018

Let’s check out the full list of Sponsors and Partners for Russia World Cup 2018 below.

Budweiser
Hisense
Mcdonalds
Vivo
Along with the above list, there are few other sponsors like: –

Adidas
Coca-Cola
Wanda Group
Gazprom
Hyundai
Kia Motors
Qatar Airways
VISA
 
Wadhamini wakuu wa MATANGAZO ya FIFA world cup hapo TBC ni hawa MOFAYA,DAWA TATU ,RUNGU na si wadhamini wa FIFA WORLD CUP AT RUSSIA (Msichanganye vitu hapo).Huyu jamaa kachanganya sio kosa lake lkn bora ulivyomwelewesha na TBC matangazo anachukua kutoka KWESE TV ya GHANA.
 
Ajiandae na na fitina ktk industry ya vinywaji huko wapinzani wake ni Azam,Mo ,Kung fu etc na kama hujui Azam nae katoa energy drink ambayo ina package kama ya Mofaya (hizo ni fitina zenyewe) ,bado hapa kwenye bei Azam ni bidhaa inayotengenezwa TZ kwa hiyo bei yake itakuwa ndogo.Ila ajitahidi kuweka reasonable price ambayo kila mtu atahistamili kwa SA ni Rand 10 (Tsh 1800+).Pili zile tabia kwamba hoo mimi sina show off,BIASAHARA YOYOTE MWENZAKE NI SHOW OFF,lazima aitangaze haswa hizi tabia haupo active ktk social network nyimbo zenyewe anatowa moja moja ,zinaweza zikaathiri bidhaa zake sokoni.Manake uchambuzi wako unalenga upinzani kimziki na si biashara yake ya vinywaji.
View attachment 779414
View attachment 779415
Simu tupu hapo.....

Ova
 
Badala mumshauri akanunue dagaa pale katonga awe anapeleka kasulu mnazidi kumpamba na kumpampu tu ashindane na waliomzidi.

Shauri zenu na zake! huyo sasa anaangukia pua.
Levo za kibakuli ni kina dogo janja na best naso😛

Haka kabifu ndio kanamuweka kiba njini,,,,,,, sasa Mond ameshtuka hampi tena kick!
Kiba alikwepo maarufu tangu huyo domo wenu yupo madale huko...
 
kweli mfa maji hutapa tapa...kwahyo kaona Coca Cola sio wadhamini na wanachokifanya bado ni zero..yeye ndo anastahili na ana uwezo huo? Kiba apimwe akili, au muombeeni msamaha kwa Diamond ili diamond aendelee na ugomvi feki unampa mkate kiba hapa mjini
Huo mkate kiba alikuwa nao hata kipindi hicho wewe humjui huyo domo wenu
 
Mi nilikuwa nahisi labda hii Mo fire ni moja Kati ya Mo Orange na zinginezo za Mohamed enterprises
 
Huwa simuuelewi mtu mwenye majivuno,dharau,kujisikia nk,nk.
 
Kinywaji ni cha DJ SBU tangu lini dalali wa kitu akawa ndo mmiliki wa hicho kitu
 
Back
Top Bottom