Baada ya Alikiba kuwa mdhamini mkuu wa Kombe la Dunia, Waopambana kumshusha watafanikiwa kweli?!

kweli mfa maji hutapa tapa...kwahyo kaona Coca Cola sio wadhamini na wanachokifanya bado ni zero..yeye ndo anastahili na ana uwezo huo? Kiba apimwe akili, au muombeeni msamaha kwa Diamond ili diamond aendelee na ugomvi feki unampa mkate kiba hapa mjini
 
Eti mdhamini mkuu wa kombe la dunia.. jata unachoandika hukijui, unajua maana ya mdhamini mkuu?
 
hakuna mtu asiyepingwa na mimi naamini unapokuwa na wakosoaji ni njia bora ya kuzidi kupambana.. ebu nitajie nani mwenye mafanikio asiyekuwa na wakosoaji. Kuanzai Diamond, Jaydee, Kanye west, Lulu, Kanumba (RIP) JPM, JK n.k.

hata wewe hapo kama una mafanikio yoyote yale kuna wengi watakuwa wanakuongea sana pembeni.. mtu pekee asiye na wakosoaji ni maskini wa kipato
 
Official Sponsors and Partners of FIFA World 2018

Let’s check out the full list of Sponsors and Partners for Russia World Cup 2018 below.

Budweiser
Hisense
Mcdonalds
Vivo
Along with the above list, there are few other sponsors like: –

Adidas
Coca-Cola
Wanda Group
Gazprom
Hyundai
Kia Motors
Qatar Airways
VISA
 
Wadhamini wakuu wa MATANGAZO ya FIFA world cup hapo TBC ni hawa MOFAYA,DAWA TATU ,RUNGU na si wadhamini wa FIFA WORLD CUP AT RUSSIA (Msichanganye vitu hapo).Huyu jamaa kachanganya sio kosa lake lkn bora ulivyomwelewesha na TBC matangazo anachukua kutoka KWESE TV ya GHANA.
 
Simu tupu hapo.....

Ova
 
Kiba alikwepo maarufu tangu huyo domo wenu yupo madale huko...
 
Huo mkate kiba alikuwa nao hata kipindi hicho wewe humjui huyo domo wenu
 
Mi nilikuwa nahisi labda hii Mo fire ni moja Kati ya Mo Orange na zinginezo za Mohamed enterprises
 
Huwa simuuelewi mtu mwenye majivuno,dharau,kujisikia nk,nk.
 
Kinywaji ni cha DJ SBU tangu lini dalali wa kitu akawa ndo mmiliki wa hicho kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…