Baada ya Alikiba sasa ni Nandy alalamika kushushiwa views Youtube

Asante sana Mkuu, hii elimu bora sana kwa watu ambao huwa wanalalamika bila kuelewa kuwa help desk au youtube Mgt! ndio controller wa viewers na credits!!
Pia hawa wasanii wanapaswa kuelewa policies za youtube Mgt hasa katika suala la viewers, hii itaondoa malalamiko!!
 
Diamond kawaloga YouTube.. wamepunguza viewers za Nandy
 
Viewers ndo awo watu sahvi wamepunguza kuangalia zakimalaya
 
Mbona kaweka ushahidi wa 883
Hajaweka ushahidi wa 993

Anatafuta busta ili akamilishe 1000
 
Lawama zitaenda kwa diamond na crew yake..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu waliofeli na masikini wa akili siku zote matatizo yao uwalalamikia wengine.Kuna clip moja niliona mtandaoni Kuna jamaa fulani akihojiwa baada ya kufeli mtihani wa kidato Cha nne wa mwaka Jana akaulizwa kwanini umefeli? akajibu serikali imesababisha nifeli akaulizwa Tena kwasababu gani?

Akajibu walimu wameshindwa kulipwa mishahara yao akaulizwa Tena shule yenu wamefaulu wangapi akataja 87 Kati ya 150 akaulizwa Tena Kama tatizo ni waalimu kutolipwa mishahara yao hao 87 wamefauluje? akashindwa kujibu
 
WaTz tuna shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si awaulize Youtube mbona wana-respond faster sana wale jamaa. Asitulaumu sie tunaomsupport.
 
Uzuri ni kwamba You tube haisimamiwi na Wabongo, hivyo hawana sababu ya kuhujumu Mtu, tena Mbongo.

Nijuavyo mimi kuna utaratibu wa hizi hesabu, na sio you tube tu bali hata kwenye FACE BOOK, unaweza kuwa na marafiki 400 leo na baada ya siku chache unakuta wapo 340.

Kuna sababu kadhaa miongoni mwao ni UONGO, ambapo huenda imegundulika hao Marafiki 60 sio wenye akaunti HAI.

Pia hali yaweza kuwa mbaya zaidi kama akaunti yako imesha wekwa alama kama ina mambo yanayoendelea yasiyo ya kweli tofauti na Mwenzako asiye na alama...kwamba yaweza kuwa wote mna kasoro lakini wewe ukaumia zaidi.
 

Nandy alisha waandikia You tube na kuwauliza?
Kwanini ana kimbilia kuhujumiwa?
Nani amuhujumu? Kwa sababu zipi?
 
Kuna kila dalili hili lalamiko limeelekezwa mahali fulani kama wahujumu wa viewers. [emoji3][emoji3][emoji3] basi sawaah! Ngoja tukajazilize Jeje kwanza angalau ifike 6M ndani ya week 1 tutakuja kujibu tuhuma.

Ni kweli kabisa hapa ni wazi wanaelekezewa shutuma timu ya Diamond maana wao ndio huonekana ni watu wabaya sana kuliko wote hapa tanzania?
Huu ni ujinga ambao sikutegemea toka kwa Nandi
 
Ni kweli kabisa hapa ni wazi wanaelekezewa shutuma timu ya Diamond maana wao ndio huonekana ni watu wabaya sana kuliko wote hapa tanzania?
Huu ni ujinga ambao sikutegemea toka kwa Nandi
Hii itasababisha pia mashabiki wengi wa diamond kumchukia anaanza kujitengenezea nyufa mwenyewe na mashabiki wa diamond washaanza teyali kumuattack kwenye Instagram yake.
 
Watu wangine bwana wao wanajuwa Views You tube unaweza ukaongeza au kupunguza kama sauti ya Redio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…