playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Kwa wengine tuu...mbna wengine hawalalamik so hizo click n kwa Kiba na Nandy tu.Huenda Youtube mwanzoni inahesabu idadi ya view per click, lakini baadaye system inapunguza viewers waliotazama zaidi ya mara moja, hivyo automatically number of viewers inashuka...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app