That is very stupid to accuse Diamond for such rubbish! Mwambieni aandike email
support@youtube.com awaulize kwa nini views zinashuka, au aingie kwenye help forum a post topic au malalamiko yake hapo:
YouTube Community
But also, kitu ambacho hawa wasanii wenye magroup ya whatsapp wanaowatuma wafuasi wao waende ku watch videos kwa lengo la kuongeza views, sasa wao wana replay over and over kila baada ya few seconds then views zote zinakua nullified.
Kwa kawaida YouTube wanahesabu VIEW iwapo mtu una watch video for more than 30 seconds, chini ya hapo, inakua 0 hata kama ume watch mara 100, so usishangae ukawa na video ina views 1m then after 48 hours ikawa na 800k