Ukiangalia hako kakofia ka askofu wenu utajua mmeisha pigwa hapo hamna kitu.
Fanya Fujo Uone (FFU)
Si mlitoka wenyewe kwenye bunge la katiba, kwani mlilazimishwa kutoka?Kudai katiba mpya si kufanya fujo
Si mlitoka wenyewe kwenye bunge la katiba, kwani mlilazimishwa kutoka?
Wewe ulitaka waendelee kukaa na watu waliokuwa wanajitahidi kuwapigisha kura mpaka Marehemu? Hauna soni ndugu?Si mlitoka wenyewe kwenye bunge la katiba, kwani mlilazimishwa kutoka?
Uliisha ambiwa sio coca colaUmemsikia rais wa dunia?
"The future belongs to those who leave their people to breathe freely. Not those who suffocate them with an iron hand."
Chief Hangaya kesha kupa mrejesho?
Hahaha kashona kwa fundi dauda..aulize wa tec wanavitolea wapiUkiangalia hako kakofia ka askofu wenu utajua mmeisha pigwa hapo hamna kitu.
Hujitambui!Si mlitoka wenyewe kwenye bunge la katiba, kwani mlilazimishwa kutoka?
FFU, moja ya marungu ya dola ambayo ccm iliyofilisika inayatumia kubaki madarakani. Ilishapoteza uhalali wa kisiasa. Siku zote ndio jibu la ccm kwa harakati za vyama vya siasa, ambavyo hutumia njia halali za ushawishi kwa jamii. Na pia ni kwa mujibu wa Katiba na sheria ya vyama vya siasa. CCM inajua fika kwamba kama itaingia uwanja wa siasa kupambana kisiasa, haifui dafu siyo tu kwa vigogo wa siasa za Tanzania , CHADEMA , bali hata kwa vyama njaa kama "Demokrasia Makini".Fanya Fujo Uone (FFU)
Hutaki?Uliisha ambiwa sio coca cola
Mnajifanya machizi tu hamsikii, eti rais wa dunia!!!!
Huyo ni kiongozi wa kiroho mkuu. Kama huelewi maana hasa ya hiyo kofia, bora unyamaze. Ila Tanzania tuna kasumba. Shehe, Askofu, Kardinali, au mchungaji yeyote akijiingiza katika siasa upande wa CCM, anaonekana ana busara. Ila akiingia upande wa upinzani, anaonekana ana mushkeli.Ukiangalia hako kakofia ka askofu wenu utajua mmeisha pigwa hapo hamna kitu.
Usimfananishe Yesu na mambo ya kipumbavu. Kwanza Yesu hakujihusisha na siasa alisema wazi utawala wake si wa dunia hii bali wabinguni.Huyo ni kiongozi wa kiroho mkuu. Kama huelewi maana hasa ya hiyo kofia, bora unyamaze. Ila Tanzania tuna kasumba. Shehe, Askofu, Kardinali, au mchungaji yeyote akijiingiza katika siasa upande wa CCM, anaonekana ana busara. Ila akiingia upande wa upinzani, anaonekana ana mushkeli.
Upande wa upinzani kuna mateso ya kila aina. Kunyanyaswa, kashfa, kukamatwa, kuwekwa magerezani, hata kuuwawa. La kutia matumaini ni kwamba hayo yote yalimkuta pia Bwana Yesu. Na jinsi vile Bwana Yesu alitukuzwa baada utimilifu wa mateso, hawa nao watainuliwa juu,
Nchi ambayo inaongozwa na kingai hangaya
Uliisha ambiwa sio coca cola
Mnajifanya machizi tu hamsikii, eti rais wa dunia!!!!
Usimfananishe Yesu na mambo ya kipumbavu. Kwanza Yesu hakujihusisha na siasa alisema wazi utawala wake si wa dunia hii bali wabinguni.