Baada ya Angalizo UN, Katiba Mpya - Mapambano yanaendelea

Kaji
Lakini alishitakiwa na hatimae kusulubishwa kwa sababu za kisiasa. Katika mahubiri yake aligusa na kutikisa maslahi ya Mafarisayo na hasa Makuhani wao. Kayafa ndiye kuhani mkuu Myahudi aliyesikiliza kesi ya Yesu na kutoa hukumu. (Yoh. 11:48-50)
Kajifunze dini na theolojia vizuri kwa mchungaji wako. Hao uliowataja waliomshitaki hawakuwa wanasiasa ni watu wa dini. Watu pekee wa siasa ni Pilato na Herode na hao hawakuona hatia yoyote juu yake. wakabaki kuwa wanarushiana kama mpira kesi yake nenda kwa huyu rudishwa kwa huyu. Yesu hakufanya siasa na hatakuwa mwanasiasa.
 
KAYAFA
 
Ahsante kwa ushauri, nimesoma tena
(Yohana 18:29, 30) Pilato alikataa hoja hiyo na kuwalazimu Wayahudi kutunga shtaka jipya: “Tulimkuta mtu huyu akipindua taifa letu na kuwakataza watu wasimlipe Kaisari kodi na kusema kwamba yeye mwenyewe ni Kristo mfalme.”
(Luka 23:2) Hivyo, kosa la kukufuru likabadilishwa kwa ujanja na kuwa kosa la uhaini.
POLE ukiwa unajitahidi kusoma na kusikiliza vizuri yatokayo kwa Mchungaji wako, UTAELEWA tu. AMEN
 
Hii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani.

Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii.

Kiongozi dikteta si wa zama hizi.

Hautakuwa peke yako baba askofu.

Zambia wametambuliwa kwa jitihada zao za kujenga demokrasia. Tuko katika njia salama. Kasema rais wa dunia wako tayari kujadiliana na kuwaunga mkono wapigania demokrasia kote duniani.

Pamoja na yote hatuko peke yetu na SSH ameambiwa hivyo kama mjumbe rasmi mkutanoni.

Aluta Continua!

UN iwe sauti ya kudai katiba mpya
 
Yesu hakukutwa na kosa lolote kisiasa. Ila kuwaridhisha wayahudi ilibidi afe hata baada ya Pilato kutoa fursa ya kuachiwa kwa msamaha ambao wayahudi bado walikataa ukaenda kwa baraba na ndipo pilato akanawa maji. Wayahudi walimwambia asiwe na shaka kama ni laana ama hatia basi na iwe juu yao na vizazi vyao.

Bottom line fanyeni siasa ila kutumia sentiments za dini haiwasaidii

Ahsante kwa ushauri, nimesoma tena
(Yohana 18:29, 30) Pilato alikataa hoja hiyo na kuwalazimu Wayahudi kutunga shtaka jipya: “Tulimkuta mtu huyu akipindua taifa letu na kuwakataza watu wasimlipe Kaisari kodi na kusema kwamba yeye mwenyewe ni Kristo mfalme.”
(Luka 23:2) Hivyo, kosa la kukufuru likabadilishwa kwa ujanja na kuwa kosa la uhaini.
POLE ukiwa unajitahidi kusoma na kusikiliza vizuri yatokayo kwa Mchungaji wako, UTAELEWA tu. AMEN
 
Watanzania dunia ya leo wanajaribu kuuhadaa ulimwengu,tunayo democrasia ya kwetu na haiwezi kufanana na kwingineko duniani,hulu tunazibana midomo na hata, pua ili tusipumue.

Bottom line demokrasia ni universal Afghanistan, Cameroon, Zambia mpaka Venezuela.

Mengine wakawaambie Chatto na Makunduchi.
 
Yesu hakukutwa na kosa lolote kisiasa. Ila kuwaridhisha wayahudi ilibidi afe hata baada ya Pilato kutoa fursa ya kuachiwa kwa msamaha ambao wayahudi bado walikataa ukaenda kwa baraba na ndipo pilato akanawa maji. Wayahudi walimwambia asiwe na shaka kama ni laana ama hatia basi na iwe juu yao na vizazi vyao.

Bottom line fanyeni siasa ila kutumia sentiments za dini haiwasaidii
🤣 🤣 🤣 AMEN
 
Back
Top Bottom