Ukimuita mnafiki utampendelea Yule ni mchawi, na ndio maana mama wema alimrecord coz anamjua tu ni ndumi la kuwili, anakula huku na huko, usikute alimpigia simu mtu mwingine kumponda wema na mama yakeSteve Nyerere nimemdharau sana mwanaume mzima unakuwa mnafiki hiyo bora angekaa kimya.
Tumchunguze jinsia huyu jamaa [emoji2] [emoji2] [emoji2]Steve Nyerere nimemdharau sana mwanaume mzima unakuwa mnafiki hivyo bora angekaa kimya.
Ukimuita mnafiki utampendelea Yule ni mchawi, na ndio maana mama wema alimrecord coz anamjua tu ni ndumi la kuwili, anakula huku na huko, usikute alimpigia simu mtu mwingine kumponda wema na mama yake
Alinishangaza sana alivyokuwa anamuita Mbowe kama mwanae katika ile audio.. Eti nimekaa mimi na "Freeman"Steve Nyerere nimemdharau sana mwanaume mzima unakuwa mnafiki hivyo bora angekaa kimya.