Baada ya Audio kuvuja, Tunda Amlipua Steve Nyerere

Baada ya Audio kuvuja, Tunda Amlipua Steve Nyerere

Ninashangaa hadi muda huu yule Dada bongo movie mzuri na mwenyeshape kuliko wote sijui alikuwa akimpendea nn hiki kijamaa!
 
Ninashangaa hadi muda huu yule Dada bongo movie mzuri na mwenyeshape kuliko wote sijui alikuwa akimpendea nn hiki kijamaa!

Alikuwa anapenda umbea wa wanaume wa mjini na kuomba namba za viongozi ili ajitongozeshe na kuwekwa mjini. Mademu wengi wanapenda kuwa na mahusiano na wanaume mashoga kwa dizaini kama hii, hivyo usishangae.
 
Sipatii picha Steve akipitia huu uzi hehehe
 
Wakuu !!!Tusiwahi kutukana maana bado hatujajua hili undani mwake hvyo akiba ya maneno ni nzuri sana
 
Nikki Mbishi Baba Malcom
16ecf987ee2f240c8da3e3f1640f2e27.jpg
 
Mpuuzi sana huyu jamaa. Anasema walilipwa... Hivi yote hayo anayoyaongea huyu Steve ni kwa sababu amelipwa... Shame on you Steve. Umetuaibisha wanaume.
 
Hawa watu inabidi wasakwe wakamatwe waseme hayo mabomu wanayotumia kuwalipua watu wameyapata wapi...
hatutaki ugaidi..
 
Back
Top Bottom