Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huko kwenu shikamoni wote.....hata maji siombi
Ninashangaa hadi muda huu yule Dada bongo movie mzuri na mwenyeshape kuliko wote sijui alikuwa akimpendea nn hiki kijamaa!
Hahahaha! Halafu wewe! Hurumia mbavu zanguMwanaume dizaini hiyo kule kwetu Kwamtogole kisuto kikianguka mnavalishwa madera ya kufanana shurti na taarabu na keki juu.
Nimekuwa najiuliza siku zote usanii wa huyu bwana unatoka wapi! Sijawahi kumkubali..,sioni hicho kinachoitwa ' kipaji' chake kipo wapi. Hata kwenye kuiga sauti kuna watu wanafanya vizuri sana kuliko yeye!