[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si ajabu alikuwa anaendeleza usanii hata kwenye hiyo "press conference".
Sijaona tamko lako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mme muandama sana huyu kijana or mzee or whoever jaman
Wapi lady d?Sijaona tamko lako
Nipo 3dWapi lady d?
kamera za simuHuwa nawashangaa zaidi waandishi wa habari wanaoitwa na kinyago kama huyu kwenye press conference sidhani kama ni waandishi kweli labda washika camera tu.
HahahaNipo 3d
Nimeona insta kwa mange kimambi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume wafupi soko letu linazidi kubanwa na wanachama kama hawa.
Tujipange
Hivi huyo Steve hana jina la baba yke? Maana jina la baba wa wenzake ndo kafanya sasa kuwa ndo la baba yke.Wakati sakata la audio inayosemekana ni mazungumzo baina ya mtu anayesadikiwa kuwa steve nyerere na mama wa wema sepetu kuvuja, Video queen maarufu nchini, Anna Patrick maarufu kama Tunda amemjia juu steve nyerere na kumtolea maneno ya shombo baada ya steve kusikika kwenye audio iliyovuja akimponda tunda kuwa ni mjinga kukubali kurubuniwa na makonda na kupewa mil 2.
Nimeelewa ulichotaka kusema ila Google keyboard imereplace maneno yako afu we ndo ukaonekana bashite🙂Tumchunguze jinsia huyu jamaa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yaan huyu babu nilichoka kwa kweli nilipozisikia zilw audio na maneno aliyoyasema kwenye press conference nayo pia nikaona ni ya uongo hamna la ukwel hataMatatizo ya kuishi mjini kiujanja ujanja, kule alisema mako hana maana wala hataongea nae tena, kwenye press conference anasema mheshimiwa mkuu wa mkoa natimiza majukumu yake.
mkuu kama unayo ile audio clip nitumieUyu jamaa anaishi maisha ya ujanja ujanja sana. Sasa Wema kapiga teke sahani yake.
Angalia movie ya "Hotel Rwanda" utaona dawa ya mnafiki mle!Hivi dawa nzuri ya watu kama Steve nyerere a.k.a wanafiki ni nini?
hata mimi ndipo nilipojua jua. kwanin walikuwa wanamtetea wema demu wa woteHuyu Steve kajiharibia sana, tena bora angekaa kimya. Ila nilichofurahi ni kupata mwanga wa kwa nini wabunge walikuwa wanamtetea sana Wema na kumuandama sana Mh. Makonda.