Hivi nyie hamjui kuwa mama kaona mbali???? Vijana wa siku hizi ni waoga wa kuoa. Kama mnabisha kesho si Jumamosi? hebu tembelea makanisani mjionee wenyewe. Wababa wenye kuanzia 40+ ndio wanafunga ndoa. Siku hizi sio kama zamani kukuta yanki miaka 28 akioa.
Huyu mama anasikitika na hali hii wabinti wanaopaswa kuolewa wanakosa hata kijana hata wa kumtania. THIS ISSUE IS SO SERIOUS muache mzaha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.