baada ya Barabara ya Juu (Flyover) Ubungo (MRK) kuanza kutumika

Magu sifa nyiiingi uwezo hamna.
Angejenga ile ndio tungempa credit anakuja kutujengea sijui kitu gani angetoa hata notice kwa umma sasa
Haitaji credit yako wewe endelea kupinga kila kitu na umri ndiyo hivyo tena unaenda mara paa 70yrs ukiendelea kupinga tu na stress juu!
 
Credit yangu kama mwananchi ni muhimu sana, ni mpumbavu pekee ndiye atasema haina.
.
September ataanza kuzurura kuja kunishawishi nimpigie kura atatumia nguvu kubwa sana na sitamuelewa, hawezi nionyesha rander ya ghorofa kama Burj Khalifa alafu anijengee kama Millennium tower that's stupidity
 
Vijana wanamsubiri awaonyeshe ajira alizotoa tangu ameingia ni zipi,wafanyakazi wa umma wanamsubiri awaonyeshe increaments ziko wapi na wastaafu wanamsubiri awaambie anaposema serikali yake ina pesa nyingi wkt wao pesa zao hawalipwi hua anamaanisha nini.
 
Credit yangu kama mwananchi ni muhimu sana, ni mpumbavu pekee ndiye atasema haina.
.
September ataanza kuzurura kuja kunishawishi nimpigie kura atatumia nguvu kubwa sana na sitamuelewa, hawezi nionyesha rander ya ghorofa kama Burj Khalifa alafu anijengee kama Millennium tower that's stupidity
mkuu DeWitt J point yako kuu ipo ktk kubadilishwa kwa ramani pia kubomolewa kwa gorofa la tanesco...., nahisi haya mambo mengine ya viongozi wetu yamekaa kimashindano ya kisiasa na kukomoana! japo sina uhakika ila nahisi sana sana khs kubomolewa kwa jengo moja la tanesco
 
Back
Top Bottom