Baada ya beef zito na Clouds FM: Lady Jaydee kuanzisha Radio yake

Baada ya beef zito na Clouds FM: Lady Jaydee kuanzisha Radio yake

Congrats lakin kuweka mabo sawa na clouds ni jambo la muhmu nazan kwa kufanya hivyo watafrahi zaid kuona wamemwandaa mtangazaji,msanii na baadae ukaweza kufungua kituo chako cha radio jide
 
Cngrts jde ila kaa na clouds uweke mambo sawa mmetoka mbali wamekujenga kama mtangazaji..msanii na sasa unaanzsha radio station yako naamn watakuwa wanajivunia kukusuport adi ulpofkia hasra hasara
 
who is ruge...ni kijana mdogo media wanamkuza au kwa sababu almtumia dogo kumnyanganya sugu tenda ya malaria mbona alfyata akaomba wamalizane na sugu..mtu wa kawaida sana
 
Ruge....ruge.... Clouds... Clouds hiki ndo kitu gani? Huu ni nani katika hii tz.
 
Back
Top Bottom