Baada ya bifu la muda mrefu, Lady jaydee, Dina marios kukutana Live EFM

Baada ya bifu la muda mrefu, Lady jaydee, Dina marios kukutana Live EFM

ahaha!! usinichekeshe, kweli wewe milembe inakuhusu, na kwa mtindo huu machizi hawawezi kupona kwa kweli

Haya ebu tuambie mwenzetu ambaye hupendi ku discuss watu hivi humu umekuja kufuata nini vile?? kweli machizi huwa hawajitambui, una bahati nimegundua kasoro yako mapema maana nilikuandalia kichambo cha haja mpaka ungeharisha hizo dagaa unazoshindia kila siku mpaka zinakufanya uropoke utumbo humu

Lo!
 
Bado sana, hawezi kulisahau Ndii Ndii Ndii mwaka huu. Chezea katerero wewe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli jf raha
 
Dah!! nakumbuka enzi za bifu la clouds na mwanamuziki lady jaydee jinsi wafanyakazi wa clouds waliposhiriki ipasavyo kumkandamamiza lady jaydee wazi wazi akiwemo Mtangazaji machachari anayepiga mzigo Efm kwa sasa, Dina marios, ambapo awali alikua mstari wa mbele kumrushia vijembe mwanamke mwenzie anayetafuta riziki kwa kipaji chake kwa kuwa tu aliyekua boss wake hapatani na msanii huyo.

Leo nimesikia jide alikua Efm kwenye kipindi cha Uhondo kinachorushwa na mtangazaji huyo dina marios, hivi anajisikiaje alivyokua akimponda live jide na mwenzie geah habibu? leo kazi hana clouds, aibu iliyoje kujiingiza kwenye mabifu ambayo hayakumhusu, pengine hata kufukuzwa kazi clouds ni laana ya jide, wote walioshiriki kimkandamiza jide wataipata fresh
View attachment 331871


aiseeee tumekumis Warumi !!
 
Dodoma Dodoma anakuja
 

Attachments

  • 1464780814062.jpg
    1464780814062.jpg
    28.8 KB · Views: 94
Back
Top Bottom