Baada ya busu tukaachana

The useful idiot

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
1,019
Reaction score
2,670
Habari,
Imekua ikinitokea kwa mademu kadhaa naanza nao kwenye mahusiano ila baada ya kupeana mabusu mademu hao mawasiliano yanaisha hapo hapo na wengine wana block namba yangu, wa mara ya mwisho imetokea hivyo baada ya kiss nzito kwenye chocho mida ya night siku inayofuata sijamuona tena hadi Leo hii
Nipeni ushauri
 
Tafuta ela, huna ela mdogo wangu.
 

Unanuka mdomo, mdomo mchafu, it’s 150,000 kutengeneza kinywa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…