Baada ya busu tukaachana

Baada ya busu tukaachana

Ila let's be honest
Haya mambo ya denda ni ya kigeni inabidi kuwe na sanctuary 18+ class kujifunza hii
 
Habari,
Imekua ikinitokea kwa mademu kadhaa naanza nao kwenye mahusiano ila baada ya kupeana mabusu mademu hao mawasiliano yanaisha hapo hapo na wengine wana block namba yangu, wa mara ya mwisho imetokea hivyo baada ya kiss nzito kwenye chocho mida ya night siku inayofuata sijamuona tena hadi Leo hii
Nipeni ushauri
Unamwachaje kwa kumpa kiss tu...ndo maana wanakuona hanithi nakukumbia...huko huko kwenye chombo cha usafiri we Tembeza Rungu.
 
Unamwachaje kwa kumpa kiss tu...ndo maana wanakuona hanithi nakukumbia...huko huko kwenye chombo cha usafiri we Tembeza Rungu.
Bro demu nimejuana nae juzi leo nipo nae chocho ambapo hata denda mpaka nivizie watu wapite alafu namla je ukizingatia ameagizwa dukani
 
Back
Top Bottom