Baada ya CAG kuendelea kuibua upigaji wa pesa za umma tozo zisitishwe

Nyumisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Posts
13,499
Reaction score
19,292
Habari wakuu wa JF,

Kwa kurejea kichwa cha uzi napendekeza tozo zisitishwe ili kuwaondoloea wananchi ugumu wa maisha. Maana kwa mujibu wa ripoti ya CAG hizo tozo wanazokatwa miaka nenda rudi hazitakuwa na msaada wowote kwao zaidi ya kuendelea kuwaneemesha wazee wa ku inflate invoice.
Nawasilisha hoja.
 
Naunga mkono hoja
 
Sasa kama Bilioni 480 zinalipwa kama riba za kuchelewesha malipo ya wakandarasi, kwanini tuendelee lipa Tozo?
Hizo ni dili za wakubwa mzee ndiyo maana unaona mashangingi town yananunuliwa na mali za umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…