Baada ya Canada kulipiza Kwa kuweka ushuru wa 25% kwenye Umeme , Trump kaongeza Ushuru kutoka 25% Hadi 50% Kwa Chuma na Aluminum ya Canada

This is a narcissistic personality disorder (NPD) case. Sioni wa kumlinganisha naye. In 2021, as you may recall, this idiot literally set his country on fire just because he lost an election. Kiumbe wa aina gani huyu?
Everything happens on purpose...
 
Americans must pay a price for their foolish decision to send an idiot back into The White House. Unampaje rungu kichaa, kwa mfano?
Mbona kama uamuzi aliofanya ni wa kizalendo sana. Iko hivi, ukitaka kulinda soko la ndani, or let's put this way, ukitaka kulinda bidhaa zinazo tengenezwa ndani ya nchi, pandisha kodi mzigo wa aina hiyo unaotoka nje ya nchi, that's means, raia wako wataacha kununua vitu kutoka nje ya nchi na kununua vya ndani; tofauti na hapa kwetu, gari na bidhaa ambazo hatutengenezi ndio vina kodi kubwa lakini juice kutoka Misri inauzwa bei moja na juice ya namna hiyo hiyo kutoka Azam.
 
Analinda soko la bidhaa ambazo hazipo? Makampuni yao mengi yamehamishia plants zake nje ya nchi kwa sababu kule gharama za uzalishaji ziko chini. Cheap labor, cheap everything. Ndiyo maana hizi tariffs ni mzigo kwa consumers, kwa sababu hawana ujanja wa kuzikwepa bidhaa za kutoka nje!
 
Umeusoma uzi vizuri? Hajaweka KODI kubwa kwa vitu vyote, kasema bidhaa za vyuma na Aluminum. Huoni kama hizo ni malighafi kwa viwanda vya ndani bro? Hizo ni malighafi kwa viwanda na sio raia wa kawaida, kwa kufanya hivo maanake bidhaa zitakazo tengenezwa na hivo viwanda (kwa mujibu wako, viwanda vya Wamarekani havipo Marekani anymore) vitauzwa kwa bei rahisi.
 
Maeneo ambayo yamekuwa affected na tariffs ni mengi. Sio eneo la producer goods pekee yake. Risk of inflation ingekuwa ndogo kama tariffs zingekuwa kwenye producer goods pekee yake. Fanya utafiti kidogo!
 
Back
Top Bottom