Baada ya CBE kuwa clear,kwa ambao bado kuna changes "selection status" zenu wana Jf?

yo-wizzle

Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
36
Reaction score
5
Samahani wadau,baada ya cbe kutema madini kuna changes zozote kwenye "selection status" zenu zaidi ya kuwa processed?na wale wa cbe zenu kwasasa zikoje?nijuze tafadhali.....
 
profile zpo vlevle c unajua kuwa vyuo 2lpangiwa muda mwing kwaiyo ndio wakapeleka ktk vyuo ucka ila wakague wanafunz walioletewa na tcu wanavgezo kwaiyo cbe wameshakagua majna yote ndio mahana wametoa mapema
 
hv mnajua kuwa tcu wameshamalza kazi yao hlyobak n ya vyuo kutoa majna
 
profile zpo vlevle c unajua kuwa vyuo 2lpangiwa muda mwing kwaiyo ndio wakapeleka ktk vyuo ucka ila wakague wanafunz walioletewa na tcu wanavgezo kwaiyo cbe wameshakagua majna yote ndio mahana wametoa mapema

Asante sana mkuu...let us wait
 
profile zpo vlevle c unajua kuwa vyuo 2lpangiwa muda mwing kwaiyo ndio wakapeleka ktk vyuo ucka ila wakague wanafunz walioletewa na tcu wanavgezo kwaiyo cbe wameshakagua majna yote ndio mahana wametoa mapema

Kwenye red hapo ,, maana sio mahana
 
Back
Top Bottom