Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Mwaka 2020 baada ya CCM kushinda madiwani wengi na hatimaye kutoa meya na ubunge 2020 maeneo yawazi karibia yote yaliota mbawa yaani yalichukuliwa
Moshi nimeishi kipindi cha nyuma mda mrefu sana ila sahivi siishi kulikua na maeneo ya wazi mengi sana ila nilienda mwaka jana December nilishangaa maeneo mengi ya wazi yamechukuliwa maeneo ambayo watoto walikua wanacheza hayapo tena
Na ukiuliza unaambiwa hili ni la kada flani wa CCM kiukweli kuna mambo yanasikitisha sana Tanzania viongozi wawe na huruma na wawafikirie kizazi kijacho mambo mengi wanafanya kwa kuangalia maslai yao
Tuongee ukweli CCM ni chama ambacho watu wanakitumia kwa ajili ya kufikia malengo yao binafsi na sio kwa ajili ya wananchi yaani ni chama cha kijangili