Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Afande Mafwele aingie mzigoni?Kama walivyowekwa ndani kina Polepole huyu naye ndani kunamhusu, mpaka ijulikane waliomtuma.
Siyo CCM ya sasa hivi, isiyo na viwango.Mambo yanaenda kasi sana.
Waswahili wanasema mdomo ulikiponza kichwa.
Madsi ya mwanasiasa asiyejulikana na wengi kutoka Zanxibar sitwaye Simai Mohammed, umeleta mtafaruku wa kisiasa ndani ya CCM, na hata Bungeni.
Madai yake mazito ati kuna Yuda msaliti ndani ya serikali, si tu yamekosea heshima kiongozi wa pili kwa madaraka nchini, ndg Nchimbi, bali vile vile yalikuwa na nia ya kuleta machafuko ya kisiasa nchini.
Soma Pia: Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani
CCM imemkana hadharani.
Lakini huyu Simai si mtoto mdogo wala si mjinga, amejazwa upepo na kundi fulani.
Kwanza, CCM lazima imuondoe kutoka chamani.
Haitoshi kusema hayo ni maoni yake.
Pili, CCM ina ukaribu sana na vyombo vya dola, CCM imeingiliwa, na mkicheka na nyani mtakula mabua.
Kama walivyowekwa ndani kina Polepole huyu naye ndani kunamhusu, mpaka ijulikane waliomtuma.
Ukiona kifaranga cha kuku kimekaa juu ya mtungi wa maji, basi utambue kuwa mama yake yupo hapo karibu naye.Mambo yanaenda kasi sana.
Waswahili wanasema mdomo ulikiponza kichwa.
Madsi ya mwanasiasa asiyejulikana na wengi kutoka Zanxibar sitwaye Simai Mohammed, umeleta mtafaruku wa kisiasa ndani ya CCM, na hata Bungeni.
Madai yake mazito ati kuna Yuda msaliti ndani ya serikali, si tu yamekosea heshima kiongozi wa pili kwa madaraka nchini, ndg Nchimbi, bali vile vile yalikuwa na nia ya kuleta machafuko ya kisiasa nchini.
Soma Pia: Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani
CCM imemkana hadharani.
Lakini huyu Simai si mtoto mdogo wala si mjinga, amejazwa upepo na kundi fulani.
Kwanza, CCM lazima imuondoe kutoka chamani.
Haitoshi kusema hayo ni maoni yake.
Pili, CCM ina ukaribu sana na vyombo vya dola, CCM imeingiliwa, na mkicheka na nyani mtakula mabua.
Kama walivyowekwa ndani kina Polepole huyu naye ndani kunamhusu, mpaka ijulikane waliomtuma.
Ndio maana tuliuliza huko nyuma Simai katumwa?Ukiona kifaranga cha kuku kimekaa juu ya mtungi wa maji, basi utambue kuwa mama yake yupo happ karibu naye.
Hilo ni wazi, sasa kwa kuwasha moto, huyu Simai afutwe uanachama na Mwenuyekiti wa CCM.Haikufanyika kwa bahati mbaya KATUMWA
a.k.a juakali!
CCM si tena chama cha wakulima na wafanyakazi, bali watu wa dili type ya kina Zungu.Ndani ya ccm kumeoza
😂Mambo yanaenda kasi sana.