Baada ya Chakula Cha Leo Usiku,tutaesabu siku Chache Fei Toto atakua huru

Baada ya Chakula Cha Leo Usiku,tutaesabu siku Chache Fei Toto atakua huru

Mtoa mada kama uliota vile! Kama hii case haijafunguliwa CAS bado basi naamini hili swala limekishwamalizwa...
Kesi inafutwa tu. Mfunguaji anasema sina haja ya kuendelea nayo kama DPP vile.
 
Atakuwa huru wapi ?? Waliomdanganya lazima ziwatoke tuu , unafkr sa hv anawachangisha bakuli la bure , ni kulipa
 
Leo Eng magumashi, eng uchwara eng miyeyusho anaenda kukalipiwa, Kwanini unamnyanyasa dogo, hawataki unamganganiaje, kwani ni kiasi gani muache acheze masebene anakokutaka,.

Sasa apinge na ashupaze shingo, amuulize malinzi alifanzwa kitu gani..View attachment 2647053
Kuandika shirikisho umeshindwa.

Anyway hiko kikombe cha Abiola kiko wapi?
 
"Huku kwetu wote ni mbumbumbu.."

Alhaj Rage.
 
Back
Top Bottom