Baada ya chama anafata Phiri

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa Phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana.

Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika.

Nawaombea mkimaliza fitna na msivuke makundi kabisa.
 
Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana.

Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika.

Nawaombea mkimaliza fitna na msivuke makundi kabisa.
Wewe ni mtopolo haya ya Simba tuachie wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…