Baada ya Chama kugaragazwa Kura za Mchezaji Bora wa Wiki, ipi nafasi ya Simba Robo Fainali CAF?

yaan Yanga buana walipoona Chama anakuja juu wakahimizana kwenye magroup wampigie kura Mwarabu! ..... poa haina taabu, Mayele zamu yake sindo hiii!
 
NASIKITIKA KUONA JAMII FORUM INAKUWA UWANJA WA KUCHEZEA VIJANA WAJINGA NA WA HOVYO.

GREAT THINKERS MKO WAPI TUBORESHE JUKWAA LETU PENDWA.

TUNAANGAMIZA TAIFA.
INAUMA SANA
 
Au tuchukueni na hizo za Kanouté, tuziongezee hapo kwa Chama? Au bado hazitafikia?
Ila hii sijaipenda, kama Chama angeshinda ilikua soka letu limetoa ujumbe fulani hivi, but so far siyo mbaya.
Soka lipige hatua baada ya kuwa mchezaji wa wiki?

Timu gani Barani Afrika soka lake limekua baada ya kuingiza mchezaji katika kikosi bora cha "week"..?
 
yaan Yanga buana walipoona Chama anakuja juu wakahimizana kwenye magroup wampigie kura Mwarabu! ..... poa haina taabu, Mayele zamu yake sindo hiii!
Hutoona shabiki wa Yanga SC akihangaika kumpigia kura Mayele ktk vinyang'anyiro vya kipumbavu.

Maashabiki wengi wa Yanga SC ni waajiliwa.
 
Sema robo final ya msimu huu ni tamu kuliko asali na inavutia kuliko Nancy Sumari na tunaingoja kama mlinzi angojavyo asubuhi ACHA IJE NA IFIKE hakuna watu wabishi kama Simba na Yanga inapokuja game za kukamia kwa Sasa Simba na Yanga zote zitaenda nusu final ogopa sana Ile hatoki mtu ikiwekwa kwa vitendo halafu game za away naona wote wameshajua kuzicheza nasemaaaaaaaaa ACHA WAJE THIS IS TANZANIA BROTHER
 
Soka lipige hatua baada ya kuwa mchezaji wa wiki?

Timu gani Barani Afrika soka lake limekua baada ya kuingiza mchezaji katika kikosi bora cha "week"..?
Mradi tupate airtime wakati wa msimu wa mashindano ya CAF
 
Hii thread utakuja kuikana later
 
kuna wamisri wa jangwani walimuongezea kura ila keshaichukua wiki moja kabla na goli lake limekuwa bora
 
Simba wanajilazomisha Sana kuona wao Ni wakumbwa wako too overrated wakt ukweli upo was kuwa timu kwa misimu miwili hawana chochote

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

We nae miyeyusho kwani hujui kuwa sisi niwa kubwa zako? Si mlishidwa huku kwa wakubwa zenu mkakimbilia huko kwa wasiojua!!! Alafu hii tabia yakujilinganisha na simba muache..... jifunzeni kutoka kwa simba, mnataka simba ajifunze kwa yanga haya niambie ajifunze nini?
 

We si umempigia kura mwarabu ?
 

Hawa jamaa akili hamna wanapenda kushindana na simba, wanatakuwa kuelewa simba sio saizi yao kenge hawa
 
yaan Yanga buana walipoona Chama anakuja juu wakahimizana kwenye magroup wampigie kura Mwarabu! ..... poa haina taabu, Mayele zamu yake sindo hiii!

Caf hawawezi post ujinga mkuu! Ni club bingwa tu..... hawa utopolo labda wapostiwe na tff na sisi hatuwezi kushindana na wajinga hawa mkuu
 
Huu ni wehu.. si ni ww ndo ulikua unasema haya mambo hayana maana?

Sasa ni aje unalinganisha na nafasi kivipi?

Halafu mbona tayari Chama ameshakua mchezaji wa wiki,
ameshashinda goli la wiki?

Unahaha kama samaki mkizi..
Kwenye hili, binafsii nilimpigia Chama Mtani

 
Hivi Simba , Chama huwa mnamuonaga kama nani? Messi au Benzema [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…