Baada ya Chama kugaragazwa Kura za Mchezaji Bora wa Wiki, ipi nafasi ya Simba Robo Fainali CAF?

Baada ya Chama kugaragazwa Kura za Mchezaji Bora wa Wiki, ipi nafasi ya Simba Robo Fainali CAF?

Mchezaji maachachari wa Al Ahly Mahmod Kahraba amemgaragaza Chama kaatika kuwania nfasi ya Uchezaji bora ya wiki. Ambapo Raia wa misri ambao wanashabikia timu hiyo walipiga kura na kumuwezesha kuibuka kinara.

Simba SC atamaliza nafasi ya pili kwenye kundi lake. Hivyo basi kwa mujibu wa kanuni ni lazima apangiwe kucheza na washindi wa makundi mengine.

Washindi wa makundi mengine ambao wana uhakika wa kumaliza juu ya msimamo ni pamoja na:-

1. Mamelodi Sundown.

2. Wydad Casablanca.

3. Esperance De Tunis.

Hivi ni Vigogo au Miamba ya kiafrika ambapo sote tunafahamu kuwa USHINDI kwao ni lazima. Iwe jua au iwe mvua.

Kwa upande wa Simba, inaafahamika kuwa hawapo ktk ubora wao ambao unafanana na ule wa akina Miqquisone. Hata kufuzu kwao ni kwa sababu walipata fursa ya kuwekwa katika kundi jepesi lenye timu dhaifu kama:-

1. Horoya AC na

2. Vipers SC.

Ipi nafasi ya washiriki hawa wenye matumaini ya kufika nusu fainali na wakijua kabisa team yao sio ya ushindani kama walivyo wenzao Yanga SC...?View attachment 2561747
yaan Yanga buana walipoona Chama anakuja juu wakahimizana kwenye magroup wampigie kura Mwarabu! ..... poa haina taabu, Mayele zamu yake sindo hiii!
 
NASIKITIKA KUONA JAMII FORUM INAKUWA UWANJA WA KUCHEZEA VIJANA WAJINGA NA WA HOVYO.

GREAT THINKERS MKO WAPI TUBORESHE JUKWAA LETU PENDWA.

TUNAANGAMIZA TAIFA.
INAUMA SANA
 
Au tuchukueni na hizo za Kanouté, tuziongezee hapo kwa Chama? Au bado hazitafikia?
Ila hii sijaipenda, kama Chama angeshinda ilikua soka letu limetoa ujumbe fulani hivi, but so far siyo mbaya.
Soka lipige hatua baada ya kuwa mchezaji wa wiki?

Timu gani Barani Afrika soka lake limekua baada ya kuingiza mchezaji katika kikosi bora cha "week"..?
 
yaan Yanga buana walipoona Chama anakuja juu wakahimizana kwenye magroup wampigie kura Mwarabu! ..... poa haina taabu, Mayele zamu yake sindo hiii!
Hutoona shabiki wa Yanga SC akihangaika kumpigia kura Mayele ktk vinyang'anyiro vya kipumbavu.

Maashabiki wengi wa Yanga SC ni waajiliwa.
 
Sema robo final ya msimu huu ni tamu kuliko asali na inavutia kuliko Nancy Sumari na tunaingoja kama mlinzi angojavyo asubuhi ACHA IJE NA IFIKE hakuna watu wabishi kama Simba na Yanga inapokuja game za kukamia kwa Sasa Simba na Yanga zote zitaenda nusu final ogopa sana Ile hatoki mtu ikiwekwa kwa vitendo halafu game za away naona wote wameshajua kuzicheza nasemaaaaaaaaa ACHA WAJE THIS IS TANZANIA BROTHER
 
Soka lipige hatua baada ya kuwa mchezaji wa wiki?

Timu gani Barani Afrika soka lake limekua baada ya kuingiza mchezaji katika kikosi bora cha "week"..?
Mradi tupate airtime wakati wa msimu wa mashindano ya CAF
 
Mchezaji maachachari wa Al Ahly Mahmod Kahraba amemgaragaza Chama katika kuwania nafasi ya Uchezaji bora ya wiki. Ambapo Raia wa misri ambao wanashabikia timu hiyo walipiga kura na kumuwezesha kuibuka kinara.

Simba SC atamaliza nafasi ya pili kwenye kundi lake. Hivyo basi kwa mujibu wa kanuni ni lazima apangiwe kucheza na washindi wa makundi mengine.

Washindi wa makundi mengine ambao wana uhakika wa kumaliza juu ya msimamo ni pamoja na;

1. Mamelodi Sundown

2. Wydad Casablanca

3. Esperance De Tunis

Hivi ni Vigogo au Miamba ya kiafrika ambapo sote tunafahamu kuwa USHINDI kwao ni lazima. Iwe jua au iwe mvua.

Kwa upande wa Simba, inafahamika kuwa hawapo katika ubora wao ambao unafanana na ule wa akina Miqquisone. Hata kufuzu kwao ni kwa sababu walipata fursa ya kuwekwa katika kundi jepesi lenye timu dhaifu kama Horoya AC na Vipers SC.

Ipi nafasi ya washiriki hawa wenye matumaini ya kufika nusu fainali na wakijua kabisa team yao sio ya ushindani kama walivyo wenzao Yanga SC?

View attachment 2561747
Hii thread utakuja kuikana later
 
kuna wamisri wa jangwani walimuongezea kura ila keshaichukua wiki moja kabla na goli lake limekuwa bora
 
Simba wanajilazomisha Sana kuona wao Ni wakumbwa wako too overrated wakt ukweli upo was kuwa timu kwa misimu miwili hawana chochote

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

We nae miyeyusho kwani hujui kuwa sisi niwa kubwa zako? Si mlishidwa huku kwa wakubwa zenu mkakimbilia huko kwa wasiojua!!! Alafu hii tabia yakujilinganisha na simba muache..... jifunzeni kutoka kwa simba, mnataka simba ajifunze kwa yanga haya niambie ajifunze nini?
 
Mchezaji maachachari wa Al Ahly Mahmod Kahraba amemgaragaza Chama katika kuwania nafasi ya Uchezaji bora ya wiki. Ambapo Raia wa misri ambao wanashabikia timu hiyo walipiga kura na kumuwezesha kuibuka kinara.

Simba SC atamaliza nafasi ya pili kwenye kundi lake. Hivyo basi kwa mujibu wa kanuni ni lazima apangiwe kucheza na washindi wa makundi mengine.

Washindi wa makundi mengine ambao wana uhakika wa kumaliza juu ya msimamo ni pamoja na;

1. Mamelodi Sundown

2. Wydad Casablanca

3. Esperance De Tunis

Hivi ni Vigogo au Miamba ya kiafrika ambapo sote tunafahamu kuwa USHINDI kwao ni lazima. Iwe jua au iwe mvua.

Kwa upande wa Simba, inafahamika kuwa hawapo katika ubora wao ambao unafanana na ule wa akina Miqquisone. Hata kufuzu kwao ni kwa sababu walipata fursa ya kuwekwa katika kundi jepesi lenye timu dhaifu kama Horoya AC na Vipers SC.

Ipi nafasi ya washiriki hawa wenye matumaini ya kufika nusu fainali na wakijua kabisa team yao sio ya ushindani kama walivyo wenzao Yanga SC?

View attachment 2561747

We si umempigia kura mwarabu ?
 
Haya tumekusikia, turudi kwenye upande mwingine wa mashindano ya walio shindwa yale!. Ila bora hata kama ameshindwa lakini ameingia kwenye kinyang'anyiro kwa mara ya pili. Vipi upande wenu kuna aliyeingia kwenye angalau mchezaji bora wa siku? Achana na wa wiki

Hawa jamaa akili hamna wanapenda kushindana na simba, wanatakuwa kuelewa simba sio saizi yao kenge hawa
 
yaan Yanga buana walipoona Chama anakuja juu wakahimizana kwenye magroup wampigie kura Mwarabu! ..... poa haina taabu, Mayele zamu yake sindo hiii!

Caf hawawezi post ujinga mkuu! Ni club bingwa tu..... hawa utopolo labda wapostiwe na tff na sisi hatuwezi kushindana na wajinga hawa mkuu
 
Huu ni wehu.. si ni ww ndo ulikua unasema haya mambo hayana maana?

Sasa ni aje unalinganisha na nafasi kivipi?

Halafu mbona tayari Chama ameshakua mchezaji wa wiki,
ameshashinda goli la wiki?

Unahaha kama samaki mkizi..
Kwenye hili, binafsii nilimpigia Chama Mtani

1679641267409.png
 
Back
Top Bottom