Baada ya Chama kugaragazwa Kura za Mchezaji Bora wa Wiki, ipi nafasi ya Simba Robo Fainali CAF?

Tatizo letu Simba ni kujazana ujinga ndiyo maana tunaitwa makolo, tushukuru hata tumefìka robo fainali sisi hatuna na hatujawahi kuvhukua kombe lolote msimu huu, sio Ligi kuu,mapinduzi,FA hata huko CAF tushukuru tu tumeshiriki, tujifunze kwa wenzetu Yanga ili tupate hata kombe moja walau Ngao ya jamii.
 
Ni vizuri umezinduka kutoka kwenye koma.Huwa mnanifurahisha sana kujifanya mashabiki wa Simba.Siwalaumu ndio inferiority complex inavyowatuma.Gongowazi mna mambo sana.
 
Mchezaji maachachari wa Al Ahly Mahmod Kahraba amemgaragaza Chama kaatika kuwania nfasi ya Uchezaji bora ya wiki. Ambapo Raia wa misri ambao wanashabikia timu hiyo walipiga kura na kumuwezesha kuibuka kinara.

Simba SC atamaliza nafasi ya pili kwenye kundi lake. Hivyo basi kwa mujibu wa kanuni ni lazima apangiwe kucheza na washindi wa makundi mengine.

Washindi wa makundi mengine ambao wana uhakika wa kumaliza juu ya msimamo ni pamoja na:-

1. Mamelodi Sundown.

2. Wydad Casablanca.

3. Esperance De Tunis.

Hivi ni Vigogo au Miamba ya kiafrika ambapo sote tunafahamu kuwa USHINDI kwao ni lazima. Iwe jua au iwe mvua.

Kwa upande wa Simba, inaafahamika kuwa hawapo ktk ubora wao ambao unafanana na ule wa akina Miqquisone. Hata kufuzu kwao ni kwa sababu walipata fursa ya kuwekwa katika kundi jepesi lenye timu dhaifu kama:-

1. Horoya AC na

2. Vipers SC.

Ipi nafasi ya washiriki hawa wenye matumaini ya kufika nusu fainali na wakijua kabisa team yao sio ya ushindani kama walivyo wenzao Yanga SC...?View attachment 2561747

Nyie UTOPOLO au Manyani huko Klabu Bingwa mnacheza na nani Robo?

Vipers tangu lini akawa Mbovu? Aliwafurusha kwenye siku yenu pale kwa Mkapa.

Huyo Vipers Ndio amesababisha mkutane na Kibonde Mazembe baada ya kumfurusha kwenye Klabu Bingwa!

Horoya huyu huyu ambaye mlikuwa mnapiga kelele kuwa yupo vizuri kwenye ile mechi ya 1 baada ya kumuotea Mnyama au Horoya yup? Unatamani kusema Simba alimuokota ila kila ukikumbuka Mnyama Alishawahi kumla Chura pale majini unabaki kukaa kimya.
 
🚮 kuna watu wengine ni wangese sana hicho kichwa kina ubongo kweli au kuna mchanga umejaa humo ndani ya fuvu..
 
Mchezaji maachachari wa Al Ahly Mahmod Kahraba amemgaragaza Chama kaatika kuwania nfasi ya Uchezaji bora ya wiki. Ambapo Raia wa misri ambao wanashabikia timu hiyo walipiga kura na kumuwezesha kuibuka kinara.

Simba SC atamaliza nafasi ya pili kwenye kundi lake. Hivyo basi kwa mujibu wa kanuni ni lazima apangiwe kucheza na washindi wa makundi mengine.

Washindi wa makundi mengine ambao wana uhakika wa kumaliza juu ya msimamo ni pamoja na:-

1. Mamelodi Sundown.

2. Wydad Casablanca.

3. Esperance De Tunis.

Hivi ni Vigogo au Miamba ya kiafrika ambapo sote tunafahamu kuwa USHINDI kwao ni lazima. Iwe jua au iwe mvua.

Kwa upande wa Simba, inaafahamika kuwa hawapo ktk ubora wao ambao unafanana na ule wa akina Miqquisone. Hata kufuzu kwao ni kwa sababu walipata fursa ya kuwekwa katika kundi jepesi lenye timu dhaifu kama:-

1. Horoya AC na

2. Vipers SC.

Ipi nafasi ya washiriki hawa wenye matumaini ya kufika nusu fainali na wakijua kabisa team yao sio ya ushindani kama walivyo wenzao Yanga SC...?View attachment 2561747
Mumeo ana kazi sana
 
Na uzi ufungwe tunabishana na mashabiki maandazi ya Yanga. Wale wenye akili huwezi wakuta hapa...
 
Tatizo letu Simba ni kujazana ujinga ndiyo maana tunaitwa makolo, tushukuru hata tumefìka robo fainali sisi hatuna na hatujawahi kuvhukua kombe lolote msimu huu, sio Ligi kuu,mapinduzi,FA hata huko CAF tushukuru tu tumeshiriki, tujifunze kwa wenzetu Yanga ili tupate hata kombe moja walau Ngao ya jamii.
Yaani we utopolo Bure kabisa,unajitekenya na kucheka mwenyewe kazi kuvaa jezi za Simba na kujifanya shabiki wa Simba
 
Yaani tangu watambue wao ni ma Mbumbumbu wamekua waki komaa na vitu vidogo vidogo vya kipuuzi Kwa kuvitolea macho.
Tuzo za CAF za wiki hazina maana yoyote zaidi ya kuzifanya kurasa za CAF katika mitandao kuwa active. Jamaa tangu timu Yao kukosa vikombe, wanajihusisha na vitu vidogo vidogo sana.
Utopolo unaumia,sizitaki mbichi hizi,kama ni Vitu vidogo si usingepoteza muda wako kuandika story yote hiyo,pathetic!
 
Mchezaji maachachari wa Al Ahly Mahmod Kahraba amemgaragaza Chama kaatika kuwania nfasi ya Uchezaji bora ya wiki. Ambapo Raia wa misri ambao wanashabikia timu hiyo walipiga kura na kumuwezesha kuibuka kinara.

Simba SC atamaliza nafasi ya pili kwenye kundi lake. Hivyo basi kwa mujibu wa kanuni ni lazima apangiwe kucheza na washindi wa makundi mengine.

Washindi wa makundi mengine ambao wana uhakika wa kumaliza juu ya msimamo ni pamoja na:-

1. Mamelodi Sundown.

2. Wydad Casablanca.

3. Esperance De Tunis.

Hivi ni Vigogo au Miamba ya kiafrika ambapo sote tunafahamu kuwa USHINDI kwao ni lazima. Iwe jua au iwe mvua.

Kwa upande wa Simba, inaafahamika kuwa hawapo ktk ubora wao ambao unafanana na ule wa akina Miqquisone. Hata kufuzu kwao ni kwa sababu walipata fursa ya kuwekwa katika kundi jepesi lenye timu dhaifu kama:-

1. Horoya AC na

2. Vipers SC.

Ipi nafasi ya washiriki hawa wenye matumaini ya kufika nusu fainali na wakijua kabisa team yao sio ya ushindani kama walivyo wenzao Yanga SC...?View attachment 2561747
Au tuchukueni na hizo za Kanouté, tuziongezee hapo kwa Chama? Au bado hazitafikia?
Ila hii sijaipenda, kama Chama angeshinda ilikua soka letu limetoa ujumbe fulani hivi, but so far siyo mbaya.
 
Simba wanajilazomisha Sana kuona wao Ni wakumbwa wako too overrated wakt ukweli upo was kuwa timu kwa misimu miwili hawana chochote

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Paragraph ya kwanza tu ndo inahusiana na title, baada ya hapo umeandika blah blah plus utopolo mtupu ambavyo havihusiani na heading yako, sijui unapata wapi muda wa kuandika utumbo wewe kubwa la matopolo labda huna kazi ya kufanya.
 
Haya tumekusikia, turudi kwenye upande mwingine wa mashindano ya walio shindwa yale!. Ila bora hata kama ameshindwa lakini ameingia kwenye kinyang'anyiro kwa mara ya pili. Vipi upande wenu kuna aliyeingia kwenye angalau mchezaji bora wa siku? Achana na wa wiki
 
Back
Top Bottom