Baada ya Chama na Mkude kuwapenyezea za ndaaani

Baada ya Chama na Mkude kuwapenyezea za ndaaani

Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Mnashindwa kufuata kanuni mkijua italeta shida halafu mnakimbilia kusema mwingine ndiyo kakimbia mechi.
Na walifanya uhuninwakijua si haki kwa matarajio kuwa Simba watasusia mechi. Huku si kususia mechi bali kutaja u hu guzi ufanyike wa kina kuhusu hii saga. Wale mabaunsa wa yanga walipata maelekezo ya kufanya vile toka kwa nani?
 
Sahihi kabisa. Siyo tu suala la kuahirisha mechi bali yafanyike maamuzi sahihi na mazito kusafisha huu uozo ili usijirudie tena.
 
Sawa wamehairisha ila sisi kama Yanga tunawasubir tuwape wanachostahir ili wasipate pa kujitetea.
 
Sababu yenu ya kususia hii mechi haina mashiko hata kidogo. Na kwa hiki kitendo chenu, hakika Watanzania wenye akili timamu, watawadharau milele.
Nyinyi mbona mlisusia mechi kisa mchezo kusogezwa lisaa limoja mbele?
 
Sahihi kabisa. Siyo tu suala la kuahirisha mechi bali yafanyike maamuzi sahihi na mazito kusafisha huu uozo ili usijirudie tena.
Endeleeni kulelewa na karia waoga wakubwa nyie,mmechungulia mkaona kuna 8 zinakuja😂😂😂 hii mechi hata ichezwe miaka miwili ijayo mtaliwa vizur tu
 
Cjawai kusikia mechi imeahirishwa kwasababu yakijinga kama hii, jambo hili ilibid mechi ichezwe zen adhabu inatolewa nje yauwanja
 
Cjawai kusikia mechi imeahirishwa kwasababu yakijinga kama hii, jambo hili ilibid mechi ichezwe zen adhabu inatolewa nje yauwanja
Adhabu ni ndogo sana haiendani na kosa. Lazima kwanza tuheshimiane.
 
Endeleeni kulelewa na karia waoga wakubwa nyie,mmechungulia mkaona kuna 8 zinakuja😂😂😂 hii mechi hata ichezwe miaka miwili ijayo mtaliwa vizur tu
Waulize viongozi wako watakwambia na wao walivyochungulia waliona nini hadi wakaona waizuie Simba isifanye mazoezi!
 
Nyinyi mbona mlisusia mechi kisa mchezo kusogezwa lisaa limoja mbele?
Yanga ilisusiaje mchezo na wakati ilifika uwanjani kwa muda uliokuwepo kwenye ratiba, na baada ya kufuata taratibu zote ikatoka uwanjani!!
 
Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Mnashindwa kufuata kanuni mkijua italeta shida halafu mnakimbilia kusema mwingine ndiyo kakimbia mechi.
Kwahyo unadhani nani anamuogopa mwezake ni simba ya yanga
 
Utopolo mda wote ni kufata maelekezo ya mganga
IMG-20250308-WA0019.jpg
 
Sheria na kanuni zinawekwa kwa sababu maalumu. Hauwezi tu ukaamka ukazivunja kwa kisingizio cha eti hizo sheria au kanuni siyo muhimu. Wenye akili hawana mawazo kama yako.
Kanuni gani inasema ukizuiliwa kuingia uwanjani kufanya mazoezi unatakiwa ugomee mechi?

Unaweza kutuwekea hiyo kanuni?

Halafu leo watu wa Simba mnajifanya mnazijua sana kanuni na watakatifu wakati risiti zenu tunazo!

Kubalini tu mmeikimbia yanga kwa hofu ya kufungwa.
 
CCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".

Great Thinker
.

Leo Tutaona Nyuzi za Simba na Yanga zaidi ya elfu 60 humu jukwaani.

TUKIWAAMBIA KUSHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA MNAANZA KUWA WA PUMBAVU HAMUELEWI
 
Sheria na kanuni zinawekwa kwa sababu maalumu. Hauwezi tu ukaamka ukazivunja kwa kisingizio cha eti hizo sheria au kanuni siyo muhimu. Wenye akili hawana mawazo kama yako.
Mara ya mwisho kwenye Derby ni lini simba akiwa mgeni amewahi kufanya mazoez siku moja kabla?. Timu kubwa jinga linazilaum club zingine kuwa zinauza mechi ILI hali lenyewe linakimbia 🤭🤭🤭😃
 
Back
Top Bottom