Baada ya chanjo ya Corona, Watu wanatakiwa kuendelea kuvaa barakoa?

Ask yourself
Kama hizo vaccine ni live attenuated, uwezekano wa kupata korona ni mkubwa. Ni kama mtu anaepata chanjo ya BCG sio kwamba hatokuja apate TB, itadepend na immune status ya mda huo unacontract virus/bacteria. Ukipawa vaccine labda ya covid, virulence(uwezo wa kusababisha ugonjwa) ya mdudu inakuwa ndogo sana. Hiyo itasaidia mwili kuzalisha antibodies nyingi za kufight virus, na hata memory cells zitaweka kumbukumbu kwa infections zitakazo kuja baadae, ila ikitokea immunity yako ipo weak at a time uwezekano wa kuumwa zaidi upo na ukizingatia kinachoathiri zaidi kwa mtu aliepata covid sio kirusi chenyewe bali ni cytotoxins zinazozalishwa na mwili kushambulia cells zenyewe zimeingiwa na virus
 
Maana kama ukipewa chanjo alafu bado unaweza kuambukizwa tena hiyo siyo maana ya chanjo
 
Kama hizo vaccine ni live attenuated, uwezekano wa kupata korona ni mkubwa. Ni kama mtu anaepata chanjo ya BCG sio kwamba hatokuja apate TB, itadepend na immune status ya mda huo unacontract virus/bacteria. Ukipawa vaccine labda ya covid, virulence(uwezo wa kusababisha ugonjwa) ya mdudu inakuwa ndogo sana. Hiyo itasaidia mwili kuzalisha antibodies nyingi za kufight virus, na hata memory cells zitaweka kumbukumbu kwa infections zitakazo kuja baadae, ila ikitokea immunity yako ipo weak at a time uwezekano wa kuumwa zaidi upo na ukizingatia kinachoathiri zaidi kwa mtu aliepata covid sio kirusi chenyewe bali ni cytotoxins zinazozalishwa na mwili kushambulia cells zenyewe zimeingiwa na virus

IMG_2522.jpg
 
Virus vya corona ni hatari sana chukueni tahadhari zote inavyowezekana huyu mdudu inaonekana atatusumbua sana wachache ndio watabahatika kupona...ukikaa unasikia maambukizi yamepungua kabisa ila mkikaa unaona tena level ipo juu na anabatizwa level kama series za movie sijui hii ya tatu...
 
Back
Top Bottom