Baada ya Chid Benzi, Ray C naye apelekwa sober house Bagamoyo

Baada ya Chid Benzi, Ray C naye apelekwa sober house Bagamoyo

Kuacha mapoda ni mtihani mgumu mno,tuwape hongera wanaoacha kiukweli sio sawa na kuacha bangi, sigara au pombe,lakini ndio hakuna option nyingine zaidi ya kuacha ili na wewe uwe mtu ktk jamii.

Yaani hawa vijana sijui wapigiwe zumari gani kuwashauri wasianze hii biashara...ni kweli kama unavosema, kuacha si rahisi kama tunavyoizungumza.
 
Back
Top Bottom