D Dina JF-Expert Member Joined Sep 18, 2008 Posts 3,224 Reaction score 1,789 Jun 20, 2016 #21 samsun said: Kuacha mapoda ni mtihani mgumu mno,tuwape hongera wanaoacha kiukweli sio sawa na kuacha bangi, sigara au pombe,lakini ndio hakuna option nyingine zaidi ya kuacha ili na wewe uwe mtu ktk jamii. Click to expand... Yaani hawa vijana sijui wapigiwe zumari gani kuwashauri wasianze hii biashara...ni kweli kama unavosema, kuacha si rahisi kama tunavyoizungumza.
samsun said: Kuacha mapoda ni mtihani mgumu mno,tuwape hongera wanaoacha kiukweli sio sawa na kuacha bangi, sigara au pombe,lakini ndio hakuna option nyingine zaidi ya kuacha ili na wewe uwe mtu ktk jamii. Click to expand... Yaani hawa vijana sijui wapigiwe zumari gani kuwashauri wasianze hii biashara...ni kweli kama unavosema, kuacha si rahisi kama tunavyoizungumza.