Huwezi kuficha Moshi kwa kufunga milango kwasababu, mambo mawili yatatokea;
Kwanza, Utaumia sana wewe uliyeko ndani kwasababu ya Suffocation na PILI Moshi utachafua sana NYUMBA wakati MOSHI unatafuta pa kutokea na Lazima utatoka tu.
Raisi Mh Magufuli ni binadamu wa kawaida na pia hajui kila kitu na nadhani hilo analijua. kwakua hajui kila kitu,NAMSHAURI, kabla hajaongea chochote, kwanza aombe ushauri kwa wajuvi na wataalamu wa jambo analotaka kulizngumzia. Vinginevyo, kila akiongea, wajuvi watamzomea kwa kuchanganya mambo.
Juzi kasema anataka kusikia habari njema za watu wanaopona, kwa maana nyingine, alazimisha MAMLAKA zitumie njia yoyote kuhakikisha zinasema habari wa watu kupona....Hii ni Hatari kubwa kama ifuatavyo;
1. Watu wengi wakishasikia wanaopona ni wengi sana, hawatajali tena wala kusikiliza ushauri wawataalamu hivyo, wataacha kuchukua tahadhari muhimu na hapo, UGONJWA UTATAFUNA MAELFU KWA MAMILIONI YA WATANZANIA,
2. VIFO VITATAPAKAA NA SERIKALI ITACHANGANYIKIWA ...kutokana na kauli ile ya Chato Juzi, hata WAHISANI watakata tama kusaidia Taifa..kutakua na uhaba wa vifaa tiba na Maeneo ya kuweka WAGONJWA jambo ambalo, kitagharimu kwa ukubwa maisha ya watanzania wengie sana.
KWA UPANDE WA UCHUMI TANZANIA ITALIA SANA
Najua Mh kama mwanasiasa Mwenye kiu ya kusalia IKULU, hataki kusikia Corona inatajwa kama changamoto kubwa, anataka aendelee na siasa zake hata kwa nguvu bila kujali watakao kufa ili mradi aendelee kukaa IKULU. Jambo hili litaleta athari kubwa sana hata akifanikiwa kubaki, ukimuangalia yeye AMEJITENGA, anaamini yuko SAFE Lakini, Kiuchumi hakuna Rangi ataacha kuona. Kwanini? Kwasababu;
1. Atatengwa Kibiashara: Mataifa mengi hayatakua na imani na Tanzania kwa kuhofia kwamba UGONJWA BADO haujadhibitiwa...wakijihusisha Wataumia tena kwa kuchota ugonjwa Tz na kupeleka kwao. Hivyo hawataruhusu Bidhaa kutoka Tanzania na kuingiza bidhaa zao Tanzania...Hapo ndo utajua maana ya kubadilisha fedha kwenye ukuaji wa uchumi...Tutauziana humu ndani ndo tujue kumbe uchumi wa mtu hujengemwa na wengine.
2. Kusitishiwa Misaada: Hakuna Muhisani asiyeangalia faida, Tanzania ikishaonekana kwamba haiwezi ku interact na Dunia kibiashara, Wahisani wengi watasitisha Misaada na Mikopo kwa Tanzania wakihofia kupoteza na hapo tutalimia MENO. MUNGU TUNUSURU.
Mwisho, kama Serikali isipoacha siasa za kutaka kubaki ikulu na badala yake ikachukua hatua madhubuti kupambana na COVIV-19, Huko mbele mtajilaumu sana..na mtatafuta pa kujificha hapatakuwepo.
KINGA NI BORA KULIKO TIBA