Baada ya Covid mfumuko wa bei ni janga la Dunia tusilaumu serikali pekee

Baada ya Covid mfumuko wa bei ni janga la Dunia tusilaumu serikali pekee

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Dunia ya sasa ni kutegemeana kuanzia bei ya mafuta, mbolea, vitu kutoka china, magari, teknologia na vipuli. Hivyo tusishangae bei ya vitu Tanzania kuwa juu.

Bank kuu pamoja na wizara ya fedha wajitahidi lakini tusiweke lawama zote kwa serikali kwenye hili kwa sasa. Hata tungekuwa na malaika bei kupanda ingekuwa ni tatizo kwa sasa. Nchi zote Duniani zina tatizo la mfumuko wa bei. Tuombee zaidi na kuwapa muda mimi nipo US na napigika na bei sana sana.

Wanao laumu Chadema kutokusemea hili waelewe Chadema hasa Mbowe anajua hili. Lema yupo Toronto Canada muulizeni bei ya vitu ukilinganisha na mwaka jana uone
 
Hata Covid ilikuwa janga la dunia lakini Tanzania hatukuweka lockdown.
 
Back
Top Bottom