Tetesi: Baada ya CUF kuchora mstari polisi wauana Zanzibar

Tetesi: Baada ya CUF kuchora mstari polisi wauana Zanzibar

Status
Not open for further replies.

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
Kuna tetesi kuwa kuna idadi kubwa ya polisi wamerushiana risasi na kusababisha idadi isiyopungua ya vifo sita taarifa zingine zinasema ni askari mmoja tu aliekufa.
Madai a mkasa huo kuna wenye madai kuwa kulikuwa na ujambazi katika kituo cha Shell na polisi waliofika kupambana na majambazi mmoja wao alifumuliwa kichwa na risasi iliyotoka upande wa majambazi na kufa papohapo bila ya kusubiri kufikishwa hospitali.

Na kuna madai kuwa timing zimekosewa waliokuwa wakileta vurugu ni wale wajulikanao mazombi wakiwa wameanza kushuka katika maeneo yenye wakazi wengi wanachama wa chama cha CUF ,ambapo baada ya kauli ya CUF kupiga mstari mwekundu ilikuwa sio rahisi kuwapiga wananchi na kuzua mtafaruku na polisi aina ya FFU ndio wakipita wakati huo na kwa hali ilivyokuwa walianza kupambana ,kutupa jicho pembeni FFU mmoja pindu ametulia ameanguka amekwisha kata roho inasemekana zombi mmoja amekamatwa.

Ajabu na kweli baada ya iwe imetangazwa zombi amekamatwa wamesema ni majambazi wakati kwenye kituo cha petrol hakuna taarifa kama kilitaka kuvamiwa isipokuwa mapambano yalitokea kando ya kituo hicho ambacho hakipo mbali na ni jirani kabisa na makazi ya watu.

Picha ni kuwa ikitokea zombi wakikamatwa waitwe majambazi ila sijui kama hao mazombi wanaotumika wanalijua.
 
Hahahahaa ya Zanzibar ni magumu, last year Polisi walipelekwa toka huku kwenda Zanzibar walichokipata sitakiweka hapa japo Polisi wale Juniors hawakujua.... ila wangemalizwa!
 
Hahahahaa ya Zanzibar ni magumu, last year Polisi walipelekwa toka huku kwenda Zanzibar walichokipata sitakiweka hapa japo Polisi wale Juniors hawakujua.... ila wangemalizwa!
Share with us please...I am also a police junior.... CC Mentor
 
ngoja tuone sehemu ya pili..
kwa taarifa tu ni kwamba kuna bonge la movie Dar leo..
sterling UKAWA..
umeyor !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom