Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Sawa kabisa ni mtu wenu lakini siyo mtu wao!!Mahalim seif ni mtu wetu pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisa ni mtu wenu lakini siyo mtu wao!!Mahalim seif ni mtu wetu pia.
kawaida ya manyumbu kupongeza kwa ujinga wao.Safi sana #2
Tukiwa waoga sana watawala watatunyea kichwani.Liwalo Na liwe
ngoja tuone sehemu ya pili..
kwa taarifa tu ni kwamba kuna bonge la movie Dar leo..
sterling UKAWA..
umeyor !
itafahamika tu .Mada ya kipumbavu kutoka kwa lofa na mpumbavu Mwiba
basi zile za kumponda mumeo EL ndo za maana,Mada ya kipumbavu kutoka kwa lofa na mpumbavu Mwiba
Mada ya kipumbavu mchangiaji wewe ni mpumbavuMada ya kipumbavu kutoka kwa lofa na mpumbavu Mwiba
Kuanzia sasa hvi nimeona niwe nakwita tu kama MTANI wa JADI; ninachokupendeaga mtani ni hiki; Magufuli akibadiri tu msimamo kuhusu Zanzibar na we unabadirika; yaani hunaga msimamo wako binafsi, lazima mwingine afikirie kwa niaba yako and then we unaendeleza alipofikiria huyo!Mada ya kipumbavu kutoka kwa lofa na mpumbavu Mwiba
Hakuna cha bomu waka nini!Zanzibar ni bomu linalosubiri kulipuka. Its only matter of time.
Hoja dhaifu Sana ulizozitoa hapa. Zanzibar ni kubwa kuliko Burundi, lakini umeona Moto uliowaka Burundi?!!Hakuna cha bomu waka nini!
Watu wenyewe wooote nchini Zanzibar hawajai hata Kawe!
Itokee fyoko tu, na liwalo litakuwa!
Zanzibar ni zanzibar, na si Burundi.Hoja dhaifu Sana ulizozitoa hapa. Zanzibar ni kubwa kuliko Burundi, lakini umeona Moto uliowaka Burundi?!!
Mkuu huyo mtani Wako bendera fuata upepo. Akili zake hazina tofauti na nguo za ndani za kinadada poa, kazi yake ni kuficha mpaka uchafu usiofichika.Kuanzia sasa hvi nimeona niwe nakwita tu kama MTANI wa JADI; ninachokupendeaga mtani ni hiki; Magufuli akibadiri tu msimamo kuhusu Zanzibar na we unabadirika; yaani hunaga msimamo wako binafsi, lazima mwingine afikirie kwa niaba yako and then we unaendeleza alipofikiria huyo!
Ninakwambia hoja zako ni hoja mfu hazina ata chembe ya uhalisia. Serekali yenyewe imeshindwa kutatua mgogoro wa wakulima na wafugaji miaka nenda rudi. Tena kwa level ya wilaya ambazo ni ndogo kuliko Zanzibar yenye mamlaka kamili.Zanzibar ni zanzibar, na si Burundi.
Narudia watu wenyewe kiduchu hata kuganjani hamjai, ni kuwaleta wana Kawe tu hapo Zenj na inakuwa one on one!